Arusha jiji pekee lisilo na watoto wa mtaani

bushland

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2015
Posts
7,015
Reaction score
4,998
Katika pita pita zangu katika mikoa tofauti hapa nchini,nimeguandua kuwa Arusha Ni mji ambao hauna watoto WA mtaani kabisa, tofauti na jiji la Dar, Tanga, pamoja na mkoa WA Rukwa hususani Sumbawanga mjini, katika jiji la Arusha kuna watoto wapatao 8 (umri kama miaka 14 na kuendelea) ambao Ni wavuta gundi maarufu mjini hapa,pia Ni wavuta bangi na wala mirungi wazuri Tu, hao watoto wameshindikana hadi na polisi hivyo Ni saws ma kusema Arusha hakuna watoto WA Mtaani
 
hakuna watoto mitaani ila wapo wavuta mirungi ,au umekosea?
 
Katika pita pita zangu katika mikoa tofauti hapa nchini,nimeguandua kuwa Arusha Ni mji ambao hauna watoto WA mtaani kabisa, tofauti na jiji la Dar, Tanga, pamoja na mkoa WA Rukwa hususani Sumbawanga mjini, katika jiji la Arusha kuna watoto (umri kama miaka 14 na kuendelea) ambao Ni wavuta gundi maarufu mjini hapa,pia Ni wavuta bangi na wala mirungi wazuri Tu, hao watoto wameshindikana hadi na polisi hivyo Ni saws ma kusema Arusha hakuna watoto WA Mtaani
Ingekuwa vyema uandika kuwa hakuna watoto wenye umri mdogo
 
hakuna watoto mitaani ila wapo wavuta mirungi ,au umekosea?
Watoto waliopo mtaani hawafiki hata kumi na niwale walioshindikana kila kona,hata polisi wanawajua, kazi Yao kubwa Ni kupora wageni usiku na kuvuta gundi
 
Takwimu zako zina ukakasi wako wengi zaidi ya kumi labda useme watoto wa kike lakini wakiume wapo wengi mtu wangu!.Labda umekariri watakuwa wachafuwachafu siku hizi wanavaa vizuri na ni wasafi wachache hao wabishi vichwa ngumu ndo wachafu!
 
Katika pita pita zangu katika mikoa tofauti hapa nchini,nimeguandua kuwa Arusha Ni mji ambao hauna watoto WA mtaani kabisa, tofauti na jiji la Dar, Tanga, pamoja na mkoa WA Rukwa hususani Sumbawanga mjini, katika jiji la Arusha kuna watoto wapatao 8 (umri kama miaka 14 na kuendelea) ambao Ni wavuta gundi maarufu mjini hapa,pia Ni wavuta bangi na wala mirungi wazuri Tu, hao watoto wameshindikana hadi na polisi hivyo Ni saws ma kusema Arusha hakuna watoto WA Mtaani
Mkuu thred yako ina kaukweli kidogo ila sio wachache kama ulivyosema...hao 8unaowasema ni wale wenye umri kati ya miaka 12-18..na hao vijana ni wazoefu kabisa...nilijaribu siku moja kuwachukua wawili nikawapeleka garage ya jamaangu lakini siku ya pili wakaondoka...siku nyingine nikamchukua mwingine kati yao nikampeleka kijiwe cha kuosha magari lakini baada ya wiki akapotea...na wako tu mjini...wapo wengi ila sio kama miji mingine
 
sijfika arusha, nikifika ntajionea mwenyewe. unataka kusemaje mkuu, hiyo ni kutokana na sera bora za lema?
 
Mkuu thred yako ina kaukweli kidogo ila sio wachache kama ulivyosema...hao 8unaowasema ni wale wenye umri kati ya miaka 12-18..na hao vijana ni wazoefu kabisa...nilijaribu siku moja kuwachukua wawili nikawapeleka garage ya jamaangu lakini siku ya pili wakaondoka...siku nyingine nikamchukua mwingine kati yao nikampeleka kijiwe cha kuosha magari lakini baada ya wiki akapotea...na wako tu mjini...wapo wengi ila sio kama miji mingine
Uzuri WA vijana WA hapa Ni wasaka nyoka Wazuri sana, wengi hawapendi kazi za kulipwa kwa wiki au mwezi , Bali wanapenda daywaka( day work) kifupi wanataka pesa za haraka haraka ndani ya muda mfupi, na ndio chanzo cha wao kutopenda tabia ya kuzurura mitaani
 
Takwimu zako zina ukakasi wako wengi zaidi ya kumi labda useme watoto wa kike lakini wakiume wapo wengi mtu wangu!.Labda umekariri watakuwa wachafuwachafu siku hizi wanavaa vizuri na ni wasafi wachache hao wabishi vichwa ngumu ndo wachafu!
Hapana Mkuu, njoo ucheki mwenyewe mchana hukuti kabisa wazururaji labda mida ya usiku kwa wale ambao hawana makazi ndo utawaona wapo wapo tu
 
Katika pita pita zangu katika mikoa tofauti hapa nchini,nimeguandua kuwa Arusha Ni mji ambao hauna watoto WA mtaani kabisa, tofauti na jiji la Dar, Tanga, pamoja na mkoa WA Rukwa hususani Sumbawanga mjini, katika jiji la Arusha kuna watoto wapatao 8 (umri kama miaka 14 na kuendelea) ambao Ni wavuta gundi maarufu mjini hapa,pia Ni wavuta bangi na wala mirungi wazuri Tu, hao watoto wameshindikana hadi na polisi hivyo Ni saws ma kusema Arusha hakuna watoto WA Mtaani
Watoto nane tu!!
 
Kuna wale 'masoro' wavuta bhange nawaogopa hatariii.
Kuna siku walitaka kuninyang'anya pochi shukrani kwa Traffic Police aliyenisaidia.
 
Hapana Mkuu, njoo ucheki mwenyewe mchana hukuti kabisa wazururaji labda mida ya usiku kwa wale ambao hawana makazi ndo utawaona wapo wapo tu
Mchana wanafanya biashara ndogondogo kama kuuza maji na wengine wanakuwa wamelala manake usiku hawalali wanazurura tatizo bado lipo japokuwa vituo vya kulelea kama hao vipo lakini bado tatizo lipo!
 
Kuna wale 'masoro' wavuta bhange nawaogopa hatariii.
Kuna siku walitaka kuninyang'anya pochi shukrani kwa Traffic Police aliyenisaidia.
Yaani hao ni wababe,watemi wandava zaidi hata ya sisiemu! pole sana!.Wakikuanzishia mtiti utajuta kuzaliwa!
 
Kuna wale 'masoro' wavuta bhange nawaogopa hatariii.
Kuna siku walitaka kuninyang'anya pochi shukrani kwa Traffic Police aliyenisaidia.
Hao pia wanavuta gundi, na wanatembea na bisi bisi,visu,viwembe pamoja na silaha nyingine hatari, Yan Ni masoro mbaya hawaogopi kitu
 
Back
Top Bottom