Polisi wa Tz wamefikia hapa kweli!!!?

Polisi wa Tz wamefikia hapa kweli!!!?

Peacesmart

Senior Member
Joined
Apr 19, 2017
Posts
113
Reaction score
101
August 9, 2017 kulikuwa na headline kutoka Mwanza ambazo zilieleza taarifa za mke wa Mwenyekiti wa Mtaa wa Majengo Mapya uliopo Kata ya Mabatini, Mwanza kudaiwa kupigwa risasi na Askari Polisi na kumjeruhi.

Sasa leo Majeruhi huyo Bi. Editha Lucasambaye amelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Bugando ambako anapatiwa matibabu amefunguka na kusimulia tukio zima namna lilivyotokea baada ya ukuta wa nyumba yao kugongwa na gari.

>>>”…aliwapigia simu Polisi wengine wakasema wako mbali, wao wakawapigia Polisi wenzao kuwaambia waje kuangalia matukio. Walipofika nilikuwa ndani nikasikia makelele mume wangu analalamika ‘mnaniaua, mnanipasua mbavu’. Niliotoka nikakuta wanampiga, nikamtoa.” – Editha Lucas

Millard Ayo





Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi blog ya millard ayo haipati traffic sikuhizi nini?,

maana hadi millard anaanza kutuita kwa clickbait.
 
Back
Top Bottom