Wadau habari.
Nashukuru sana ombi langu kusikilizwa, ni jana tu nilikuja kulalamika hapa jamvini juu ya menejiment kutokunisikiliza juu ya matakwa yangu.
Leo asubuhi tu naona PM na Maxence...
Wakimbizi kutoka nchini Burundi wanaohifadhiwa katika kambi ya Nduta wilayani Kibondo wamevamia ghala la chakula kambini hapo na kufanya fujo wakitaka chakula cha ziada.
Mkuu wa wilaya ya...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida kabisa mtangazaji wa Kipindi cha 360 kinachorushwa na Kituo cha Clouds tv Bwana Hassan Ngoma asubuhi hii wakati akichangia mawazo yake juu ya Sheria mpya za mikopo...
Wakimbizi kutoka nchini Burundi wanaohifadhiwa katika kambi ya Nduta wilayani Kibondo wamevamia ghala la chakula kambini hapo na kufanya fujo wakitaka chakula cha ziada.
Mkuu wa wilaya ya Kibondo...
Wakati mfuko wa jamii wa LAPF ukitoa fao la kujitoa kwa wanachama wake bila ya masharti, mfuko wa jamii wa PPF umesitisha fao hilo tangu mwaka jana mwezi wa 5. Sababu zinazoelezwa na PPF ni...
Kuna tatizo gani Tanzania Government Portal?! Mnashindwa ku-update taarifa zenu kweli? Hadi leo Gen. Mwamunyange ni Mkuu wa Majeshi kweli? Ernest Mangu bado ni IGP kweli?
Ajira hazitangazwi...
Mtangazaji Geha Habibu leo August 14, 2017 kupitia Leo Tena ya Clouds FM ametuletea Hekaheka iliyotokea Kitunda, Dar es Salaam ambapo inadaiwa kulizuka moto ambao ulizua taharuki baada ya kuwaka...
Guys nataraji kwenda mkoa tajwa hapo juu. Mwenye ufahamu na hotel nzuri ya kufikia na bei per night anisaidie. ikiwa around 25,000 to 30,000 itakuwa njema
Wasalam
Kwa mujibu wa Redio DW ya Ujerumani jioni hii, wakazi wa Loliondo wilaya ya Ngorongoro mkoa wa Arusha, wamechomewa nyumba zao wakidaiwa kuishi eneo la hifadhi ya wanyamapori.
Kazi hii imefanywa...
Dar es Salaam. Mfanyabiasha Ramadhani Athumani Juma maarufu kama Elias Jeremiah Mazimbaka amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na shtaka la kujitambulisha kuwa yeye ni...
Kupitia jf na ITV habari imejitokeza habari ya wafuasi wa CUF wanaompinga prof Lipumba walivyokimbia baada ya kufutiwa mashtaka
Nimewaona polisi,kwakweli kilichoonekana ni vurugu na aibu kwa...
Kwanza habari za kwenu,
Naomba msaada binafsi naishi,
Yale maisha ya kawaida tu kiimani yaani sio mshika dini sana na hata kanisani huwa siendi nina zaidi ya mwaka na nusu sijaenda, ila kuna...
Ninashangaa kuona mzazi analaumiwa na wakati kuna uwezekano mkubwa sana viroba hivo na bangi izo wamenunua mtaani wakiwa wameshatoka nyumban, pia kuna uwezekano mkubwa sana kwamba vitu hizo...
Imetamkwa rasmi sasa kutafanyika msako mikoa yote kuwa wajibisha walimu waliowapa wanafunzi mimba kuanzia miaka ya nyuma had I sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama una ndugu doha Qatar Na hamjawasiliana siku mbili zimepita Wasiliana na namba 0773181898, maana kuna mzanzibari kafariki doha hawajuhi ndugu Ila ukiwasiliana Na namba hiyo kwa Tanzania...
Hii ni zaidi ya hatari wakuu
Hawa wachina naona wanaisoma namba kiaina yaani king'amuzi cha antenna 80000?
Halafu kikiisha unalipia khaaaa?hii sasa kejeli
Pengine wataalamu wetu wana wajibu wa kulisemea hili;
Kampuni ya bia ya TBL imekua na tabia ya kushusha bei za bia zake haswa zinapokuwa ziko katika tarehe za mwisho za ku-expire.
Ilishuhudiwa...