Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Simulizi ya kweli inayonihusu mimi mwenyewe moja kwa moja. Sehemu ya kwanza . 1. Namna majini walivyoshiriki katika makuaji yangu . Tangu nikiwa mdogo nilikuwa nikishuhudia vivuli vilivyokuwa...
15 Reactions
695 Replies
42K Views
Baadhi ya wadau watetezi wa haki za binadamu nchini wametoa wito kwa maafisa wa Serikali kutoa ushirikiano zaidi utakaowezesha kuibua masuala ya uvunjifu wa haki za binadamu katika jamii...
1 Reactions
1 Replies
142 Views
Africa itakuja kuelendelea lakini baada ya kupoteza kila kitu.. Bado tuna vitu vingi adimu, cya thamani kubwa na vya kipekee ambavyo wenzetu hawana tena lakini sisi hatuvithamini.. Leo tuangazie...
8 Reactions
83 Replies
1K Views
POLISI MBEZI KWA YUSUFU MNASTAHILI PONGEZI! Mtu huyu (pichani) aliyejitambulisha kwa jina la Juma kutokea maeneo ya Bulula - Kimara Suka alikuwa amekamatwa akituhumiwa kufanya vitendo vya wizi...
7 Reactions
13 Replies
480 Views
"Katika wakati wa Mfalme Herode, baada ya Yesu kuzaliwa katika Bethlehemu ya Uyahudi, watu walio na hekima kutoka Mashariki walifika Yerusalem, wakauliza, "Yuko wapi yule mtoto aliyezaliwa kuwa...
4 Reactions
17 Replies
302 Views
Marko 6:2 Na ilipokuwa sabato, alianza kufundisha katika sinagogi; wengi waliposikia wakashangaa, wakisema, Huyu ameyapata wapi haya? Na, Ni hekima gani hii aliyopewa huyu? Na, Ni nini miujiza...
0 Reactions
0 Replies
129 Views
kila kitu na wakati wake right. kwa chochote kile unachokipata hakikisha unakifurahia. Usijibane mpaka unashindwa kuvaa nguo nzuri,kula vizuri,kwenda tour nchi za mbali et unabana uje uishi...
14 Reactions
35 Replies
468 Views
Kuna mwizi ambaye amekuwa akivamia nyumba za watu usiku katika maeneo mbalimbali nchini, ikiwemo Dodoma, Dar es Salaam, Goba, na maeneo mengine ambayo bado yanaendelea kuripoti matukio kama haya...
1 Reactions
5 Replies
213 Views
Nimeona uzi watu wanalalamika kodi ya kuagiza magari kwa Tz ni anasa kuliko nchi nyingine yaani mtu ananunua ist japan milioni 6 au 7 huku kodi unalipia zaidi ya bei uliyonunulia japan watu...
3 Reactions
3 Replies
425 Views
Wakuu, Mimi Simu kadi yangu namba moja ni Airtel, Nimekuwa na Chip hii for years ila kwa sasa ni almost mwaka mtandao wa Airtel hauko stable kabisa, Unasumbua sana kwenye Mawasiliano ya Calls kuna...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Jambo hili linaelekea kwenye historia ya kidini na uhusiano mgumu kati ya Wayahudi na Uislamu katika zama za Muhammad . Ili kulielewa vizuri, ni muhimu kuzingatia muktadha wa kihistoria na...
1 Reactions
9 Replies
876 Views
Inakuwaje unafanya uovu kwa makusudi kabisa ya mwananchi au kiongozi unambambikia kesi za uongo unamweka gelezani kwa muda mrefu. Unafikiria hata mpaka uamuzi wa kumtoa Binadamu uhai wake wa...
2 Reactions
4 Replies
153 Views
Hello guys 👋 name Shesrise🫰 Watu wengi tunasema chuki, lakini je, tunajua hasa ni nini? Je, chuki inazaliwa ndani ya mtu au inajengwa kutokana na mazingira, maumivu, na uzoefu wa maisha...
12 Reactions
120 Replies
1K Views
Bodi ya Baraza la Kiswahili Tanzania (BAKITA) imemteua Rais wa Yanga SC, Mhandisi Hersi Said kuwa Balozi wa Kiswahili kutokana na uwezo, ushawishi na ushiriki wake kwenye masuala ya kijamii...
1 Reactions
3 Replies
120 Views
Huwa nikikaa na vijana hasa , ambao wapo early twenties na ambao wapo early thirties Ni kama wanaishi katika Dunia FAKE ambayo sio genuine. O.G Utakuta ana miaka 20+ ila anakuambia mpaka...
9 Reactions
9 Replies
368 Views
Mwenyekiti wa Chama cha Wamiliki wa Daladala Mkoa wa Dar es Salaam, Bw. Sabri Mabrouk, ametangaza mapendekezo ya viwango vipya vya nauli za mabasi ya abiria (daladala) jijini humo, yakionyesha...
7 Reactions
51 Replies
2K Views
1. Maana ya deni la taifa Deni la taifa ni fedha ambayo serikali hukopa kutoka: Ndani ya nchi (benki, mifuko ya hifadhi ya jamii) Nje ya nchi (Benki ya Dunia, IMF, nchi washirika) 👉 Lengo ni...
1 Reactions
4 Replies
213 Views
Polisi ataka kumpasua RPC wa pwani hadharani Waziri Mkuu amzuia. Je hii ni sawa kweli kwamba jambo amabalo lilipaswa kuongelewa mbele ya wananchi wote limekuwa jambo la watu wawili kwasababu tu...
5 Reactions
17 Replies
903 Views
Wizi unaanzia kwa maajanti wa mabasi ambao hupandisha nauli hovyo. Hawana nauli ambazo ni standardized. Utakuta basi moja kila mtu amelipa nauli tofauti japokuwa wanaenda sehemu moja. Wakati wa...
4 Reactions
3 Replies
137 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…