Tuliosoma Minaki Secondary tukutane hapa.

Tuliosoma Minaki Secondary tukutane hapa.

Muheza 1

Senior Member
Joined
Aug 2, 2017
Posts
133
Reaction score
152
Kama mjuavyo Minaki Secondary ni chama kubwa. Wamepita viongozi wakubwa wengi sana.
Minaki imejengwa na Wajerumani enzi hizo wilayani Kisarawe mkoa wa Pwani.
Minaki Secondary ni shule ya zamani sana kuliko hata Pugu Secondary.

Sitasahau shida ya maji Minaki, pia tulikuwa tunakaribishwa kwa fangasi wengi sana(pumbu Erosion.

Mkuu wa shule JJ Kaaya alikuwa mkali sana lakini ukali wake ulikuwa unatusaidia kufaulu. Asilimia 90% ya wanaosoma Minaki hufaulu kwenda chuo kikuu.

Hebu njoo utuambie wewe unakumbuka nini kutoka Minaki Secondary??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom