Salm
Poleni na majukumu ya hapa na pale nimekuwa nikifuatilia mjenzi wa barabara ya Chamanzi Mbande mbona huwa haiishi najua Egn! Wa manispaa ya Temeke upo fuatilia ili swala buana make...
Habari zenu ndugu....bila kupoteza mda naomba mwenye master plan ya jiji atuwekee ...nna mpango wa kwenda kujificha Nzasa ( Chanika)...
sasa haya mambo ya Bomoabomoa yasije kunikuta...
Natanguliza...
Leo nilikuwa natoka kituo cha polisi mawasiliano nikiwa na usafiri wangu tayari namaumivu ya kulimwa faini na trafiki Nataka kutoka getini nikawaambia wanifungulie nitoke wakasema nilipe elfu...
Wakuu kwema, kuna jamaa mmoja alitumia offer kuchukua mkopo benki, halafu title deed yake imetoka juzi anayo yeye sasa hapo itakuwaje akishidwa kulipa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa miezi miwili mfululizo, kampuni ya kuchimba alamasi ya El Hillal Minerals iliyoko Mkoani Shinyanga, haijawalipa wafanyakazi wake mshahara.
Juhudi zote za kistaarabu hazijazaa matunda...
Jaman hii ni kwa watumidhi wale wrnye uelewa na hili jambo tu. Kama huelewi naomba ukae kimya.
Juz nilifika ktk ofisi za halmashauri ninayofanyia kazi na kuuliza iwapo nitapata salary slip zangu...
Habari zenu ndugu.Nauliza,eti tofauti ya advanced diploma na ordinary diploma ni nini?Na mtu aliyemaliza form akakosa vigezo vya kujiunga na degree,akitaka kwenda diploma inabidi awe na vigezo gani?
Habari zenu wote humu Jamvini?
Mkuu wa Majeshi ( SIYO AMIRI JESHI MKUU WA MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA AMBAYE MARA NYINGI NI RAISI AU WAZIRI MKUU WA NCHI HUSIKA).
Binafsi nilikuwa na...
Jambo JF
Kwa waislam na wenye kufaham hili naomba mnijuze je sikukuu hii mwaka huu yategemea kuwa tar ngp? Manake wengine wanasema j1 wengine j3 hebu mwenye ufaham tafadhali
*Wanadau naomba msaada kufahamishwa kuhusu ubora wa shule ya KIUTA - Mtwara mazingira na academic performance? Kwa combination ya HKL form 5*
Sent using Jamii Forums mobile app
Mm n mtaalam wa kumkomesha mtu mbaya kwenye jamii, mtata kwenye jamii.
Ukinipa jina lake tu, namshughulikia kesho anaanza kuanguka kifaa.Make sure amekukosea kweli maana ukidanganya tu kifafa...
Sisi wachimbaji wadogo wa madini wa hapa babati tulipeleka malalamiko yetu kwa mkuu wa Wilaya ya babati kuwa kuna vurugu imetokea katika maeneo tunayochimba madini kati ya sisi wenye leseni na...
nimesoma kiswahili udsm kozi ya ualimu .kiswahili lilikuwa ni somo moja wapo . lakini nimekuwa nasikia viongozi wa nje ya nchi kuhitaji wataalamu wa lugha ya kiswahili huwa najiuliza nani...
Nawapa pole wale wote wanaopitiwa na mradi unaoendelea wa upanuzi wa barabara, Mwenyezi Mungu awape wingi wa rehema na uvumilivu katika kipindi hiki kigumu sana kwenu nyote pamoja na familia zenu...
Hatimaye Jeshi la Polisi limeeleza kiini cha mauaji yaliyokuwa yanafanywa katika Wilaya za Kibiti, Mkuranga na Rufiji mkoani Pwani ambapo watu 40 wakiwamo askari polisi 15 wameripotiwa kuuawa kwa...