Ni kweli kila Mdanganyika anajua tunadaiwa Ila walikuwa hawajui kama mapanga shaaa imekamatwa ndo maana Kipanya kamuona dogo anazingua akafanye home workhahahahaha Kipanya kamuona huyo tumbo ni mshamba kuwaita watu na kuwambia kuwa serikali ina daiwa wakati akijua kuwa hakuna mtanzania asiyejua twadaiwa tena hizo alizo zitaja tumbo ni chache sana.....
Halafu kilicho mshangaza Kipanya ni tumbo kufurahishwa kushikwa kwa ndege zetu...ndio maana Kipanya ana mshangaa tumbo
Hivi vibahasha vinawekwa sh ngapi zama hizi za Magufuli?Angalia rangi za microphone utausoma mchezo faster kinoma. Mvunja nchi huyo.......
Sent using Jamii Forums mobile app
Utaugua wazimu mwaka huu, maana hadi picha aliyochora mtu mwingine umeiundia tafsiri 1000.hahahahaha Kipanya kamuona huyo tumbo ni mshamba kuwaita watu na kuwambia kuwa serikali ina daiwa wakati akijua kuwa hakuna mtanzania asiyejua twadaiwa tena hizo alizo zitaja tumbo ni chache sana.....
Halafu kilicho mshangaza Kipanya ni tumbo kufurahishwa kushikwa kwa ndege zetu...ndio maana Kipanya ana mshangaa tumbo
Ukawa wengi wanapotosha, anachojaribu kuonyesha kipanya ni kuwa mwanae kaacha kazi yake ya maana (home work) kuja kusikiliza taarifa ya kuwa Tz inadaiwa ! Deni si hoja au maajabu. Tz inadaiwa na waalimu, wazabuni wa shule na magerezani na taasisi nyingine kadhaa. Hivyo hakuna nongwa kati ya mdai na mdaiwa.Nimegeuza lakini sijaelewa!
Lawama inasaidia nini, itapunguza hasara !?kukosa akili ni ugonjwa mbaya sana...Baada ya kulaumu wanaosabisha hasara za kizembe tunalaumu watoa taharifa...