Kwanini Mkuu wa Majeshi alindwe?

Kwanini Mkuu wa Majeshi alindwe?

b191

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2016
Posts
742
Reaction score
1,032
Habari zenu wote humu Jamvini?

Mkuu wa Majeshi ( SIYO AMIRI JESHI MKUU WA MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA AMBAYE MARA NYINGI NI RAISI AU WAZIRI MKUU WA NCHI HUSIKA).

Binafsi nilikuwa na nina-amini kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama ni mtu aliyepitia hatua mbalimbali za mafunzo ya kijeshi.

Pia naamini kwa nafasi yake hakuna anayeweza kumsumbua ki-mbinu na maarifa yoyote yale ya Kijeshi.

Sasa kitu ambacho siku zote kinanipa SWALI lisilo na JIBU kichwani mwangu no;

"KWA NINI WAKUU WA MAJESHI WALINDWE NA ASKARI WENYE RANK YA CHINI YAO IKIWA WAO WANAUWEZO MKUBWA?"

Nawasilisha.
 
Ha ha ha unawaza kimuvimuvi. Kama Rambo na Anorld Shwaznegger.

Wale jamaa mbali na mafunzo wakishapanda Vyeo wanakua hawafanyi mazoezi kiviile. Wanakua wamezoea kutoa amri tu. Ndio maana wengi wako obese

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umri wako ndiyo tatizo.

Mkuu wa majeshi , analindwa kama heshima na utambulisho wake popote anapokuwa.
 
Piga ua, afe kipa afe beki adui akivamia ngome kitu cha kwanza kuchukua ni kiongozi(officer) haangaiki na Askari anayepokea Orders...yule anayotoa Order ndio wa Muhimu....maana huyo anajua siri, mbinu za kivita, strength ya jeshi lake, sila alizonazo, uwezo wa silaha na madhaifu ya jeshi(weakness)....hivyo vitu ndio muhimu kwa adaui....

Na General huwa hastaafu insuch...bado anaingia kwenye vikao vikubwa vya ulinzi na Usalama na bado atalindwa....Yaliyomo kichwani kwake ni muhimu sana....
 
sio mkuu wa Majeshi tu hata Ma canal kwenda juu hulindwa pia. Hao wanaowalinda ndio vitengo vyao hivyo haswa vya Upolisi wa Jeshini au Makomandoo... na wao pia hupanda vyeo pia... Mwanangu usililie kazi ya jeshi
 
Ni sawa na kuuliza bendera ya Rais pale Ikulu....akiwa nje ya nchi bado ina pepea au inateremshwa.
 
Back
Top Bottom