Leo nilikuwa natoka kituo cha polisi mawasiliano nikiwa na usafiri wangu tayari namaumivu ya kulimwa faini na trafiki Nataka kutoka getini nikawaambia wanifungulie nitoke wakasema nilipe elfu moja nikawaambia naomba niione risiti ilikuwa ni ya maxmalipo imeandikwa sh 500 walipobaini nimegundua wakasema tunakupa mbili tiketi nikawaambia Nataka moja ya 1000 wakaniambia subiri tukuletee ya 2000 inaonekana we unataka ya 2000 nikawauliza kwani kutoka gharama sh ngapi?
Wakanijibu 2000 ila wewe tunakupunguzia ulipe elfu moja swali kwa manispaa gharama halali yakutokea geti linalotokea polisi mawasiliano ni kiasi gani ? Na kwanini kusibandikwe bei elekezi kuweka uwazi na kuondoa ubabaishaji.