Mkemia Mkuu wa Serikali, Profesa Samuel Manyele amehojiwa na Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya(DCEA) kwa siku mbili mfululizo kuanzia juzi kuhusu utoaji kiholela wa vibali vya...
Jana nikiwa nimekaa zangu kijiweni na wazee wenzangu baada ya kazi alipita mlevi mmoja anasukuma baiskeli iliyoonekana kuchoka sana .Ndipo vijana wa bodaboda wa lile eneo wakaanza kumcheka na...
Kwa siku za hivi karibuni kumezuka ' kamtindo ' ambako kama vile nakaona ni ka ' Kipumbavu ' ambapo Viongozi wa Dini za aina zote nchini Tanzania ' wamekaanzisha ' na naona sasa kanazidi tu kuota...
Wandugu
Nashindwa kuelewa hapa,ni jinsi gani hawa wazungu wanakurupuka kufanya maamuzi katika kesi iliyofunguliwa na kampuni ya ujenzi na kupelekea Bombadia yetu ikamatwe,kesi inahusu kuvunjwa...
TAZARA junction ni chemba inayokaribia kuzibuliwa, just imagine, foleni zote za posta, airport, bandari, na zile za kutokea ubungo through Tabata all the way mpaka buguruni na uhuru road tokea...
Mahakama nchini Korea Kusini imemhukumu bilionea anayetarajiwa kurithi kampuni Samsung Lee Jae-yong kifungo cha miaka mitano jela kwa makosa ya utoaji rushwa.
Bw Lee alikuwa ameshtakiwa kuhusika...
Huo ni mtaji kubwa sana. Hawa watu, ndugu zao, jamaa zao, na wanaowahusu wameumia, wamekufa , kesho kura yao inaweza ikawa mtaji mkubwa wa CDM wakiitumia vizuri. Anza sasa na siyo kesho!
Ukistaajabu ya Musa utayaona ya filauni.
Ni katika ofisi za Halimashauri ya mji wa Muheza ambapo ofisi zake ni Giza totoro nyakati za Usiku huku makazi ya watu binafsi yakiwa na umeme.
Umeme ni...
Watu wawili wamefariki dunia katika kijiji cha Kanyara kata Kanyara mkoani Geita baada ya kukosa hewa wakati wakichimba kisima kirefu cha Maji.
Wakiongea na MO Blog mashuhuda waliokuwa eneo la...
FikraPevu
tushirikishane
HOME UCHAMBUZI UBINAFSI UNAMALIZA MALIASILI TANZANIA
UCHAMBUZI
Ubinafsi unamaliza maliasili Tanzania
DANIEL MBEGA 04/04/2016
0 COMMENTS 0 SHARES...
Habari za asubuhi wandugu,hii nimeshindwa kuivumilia nimeona nifunguke tu pengine inaweza kukusaidia kama nawe ni miongoni mwa watu kama hawa.
Utakuta mtu humwambii kitu kuhusu bidhaa...
Ilikuwa ni simanzi na vilio kwa wakazi wa Kimara Suka wiki iliyopita baada ya baadhi ya nyumba kubomolewa na watu wanaodaiwa kutoka TANROADS.
Wakazi tuliowahoji walionyesha kusononeka na pia...
hatari sana aisee
atakamatwa kwa uchochezi,aangaliwe kama anayo machine ya efd na kama kasajili biashara na huyo afisa aliyesajili hili jina atakuwa kwenye hali mbaya]
mwishowe hili duka lazima...
Taarifa zingine kutoka Reuters zinasema, Kampuni ya Symbion inataka fidia ya dolari za kimarekani milioni 561 kutoka serikali ya Tanzania. Ni baada ya kukiuka makubaliano ya mkataba wao wa miaka...
Huenda ukawa unadaiwa madeni mengi na unaona nivigumu kwako kukabiliana nayo moja kwa moja, usiogope jaribu njia mbadala za kuweza kukabiliana na madeni hapa.Zifuatazo ni baadhi ya njia zitakazo...
Dar Es Salaam. Kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha na kujeruhi inayomkabili Salum Njwete (31) maarufu kama Scorpion, imeshindwa kuendelea baada ya hakimu anayesikiliza shauri hilo Flora Haule...
WAFANYABIASHARA WAGOMA KUSHUSHA BEI YA SUKARI
Licha ya Bodi ya Sukari Tanzania kutangaza bei elekezi ya bidhaa hiyo kuwa ni Sh1,800 kwa Dar es Salaam, maeneo mbalimbali jijini inauzwa kwa...
Tunatoka katika KILIMO KWANZA japo bado hatujafanikiwa sana, Tunaelekea TANZANIA YA VIWANDA.
Hii ni kitu ninayoiunga mkono 100%. Ni aibu kuimport nguo za mitumba,stick,maziwa ya unga...