Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Yaani mwanamke ambae niliwahi kumtongoza hapo kipindi cha nyuma tulipotezana kwa mda kutokana na mimi kuhamishwa ghafla kikazi sasa kwa kupindi hicho tulikuwa tunawasiliana sasa ikafika kipindi...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Tanzania As a UN Report lists Tanzania as the second largest marijuana producer in Africa after South Africa there is fear that the drug is becoming the mainstay of the economy of some remote...
0 Reactions
12 Replies
7K Views
0 Reactions
4 Replies
892 Views
Wadau napenda kujua kama kuna tofauti yoyote ya kisayansi ya namna maradh mbalimbali ya kiutu uzima yanavyosambaa kutoka mtu mmoja hadi mwingine. Karibuni.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kama bado haujaoa tuma meseji yako hapa au Dongo kwa mke/mme wako mtarajiwa ukimkumbusha au kumwambia kitu furani. Ya kwangu kwa mke wangu mtarajiwa ni hii tu. Somewhere huko alipo mke wangu...
0 Reactions
1 Replies
937 Views
Baadhi ya taasisi zisizo za kiserikali mkoani Arusha zimejitolea kuwaelilmisha na kuwawezesha wananchi katika vijiji vilivyokithiri kwa kilimo cha zao haramu la namna wanavyoweza kupata...
0 Reactions
0 Replies
816 Views
Mtoto Mariana Sifrit akiwa kwenye mashine ya kumsaidia kupumua, muda mfupi baada ya kufikishwa hospitalini. Mtoto huyo alifariki baadaye na inadaiwa kuwa, aliambukizwa virusi hatari vya HSV-1...
2 Reactions
37 Replies
7K Views
Salaamu wandugu. Napenda nitoe masikitiko na dukuduku langu kwa hawa wanaotoa huduma ofisi za NIDA. Hawa watu wamekuwa wazembe na watu wanao ona bora tuu liende,unajaza form za vitambulisho baada...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Marekani wanaitwa DEA (The Drug Enforcement Administration) ila huku kwetu bado wapo chini ya Jeshi la Polisi. Kwa maono yangu madogo naona kadri siku zinavyozidi sogea na tatizo kuwa kubwa...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Wadau, Halotel walivyo sasa ni shida, customer care kuwapata mpaka upige maombi ya mfungo wa kutokula na kunywa maji, protocol yao hata haieleweki, miaka 3 tu wameshiba ivi kweli TZ ni shamba la...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
imethibitika kwamba ndege yetu ya kibiashara inashikiliwa nchini Canada kutokana na kesi ya madai ya fidia iliyoshinda kampuni moja ya huko dhidi ya serikali ya Tanzania.... Vyovyote vile iwavyo...
6 Reactions
28 Replies
6K Views
Penye wengi pana mengi je ni kweli?? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mkemia Mkuu wa Serikali, Profesa Samuel Manyele amehojiwa na Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya(DCEA) kwa siku mbili mfululizo kuanzia juzi kuhusu utoaji kiholela wa vibali vya...
1 Reactions
18 Replies
5K Views
Jana nikiwa nimekaa zangu kijiweni na wazee wenzangu baada ya kazi alipita mlevi mmoja anasukuma baiskeli iliyoonekana kuchoka sana .Ndipo vijana wa bodaboda wa lile eneo wakaanza kumcheka na...
3 Reactions
12 Replies
3K Views
Kwa siku za hivi karibuni kumezuka ' kamtindo ' ambako kama vile nakaona ni ka ' Kipumbavu ' ambapo Viongozi wa Dini za aina zote nchini Tanzania ' wamekaanzisha ' na naona sasa kanazidi tu kuota...
32 Reactions
94 Replies
9K Views
Wandugu Nashindwa kuelewa hapa,ni jinsi gani hawa wazungu wanakurupuka kufanya maamuzi katika kesi iliyofunguliwa na kampuni ya ujenzi na kupelekea Bombadia yetu ikamatwe,kesi inahusu kuvunjwa...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
TAZARA junction ni chemba inayokaribia kuzibuliwa, just imagine, foleni zote za posta, airport, bandari, na zile za kutokea ubungo through Tabata all the way mpaka buguruni na uhuru road tokea...
13 Reactions
55 Replies
12K Views
Mahakama nchini Korea Kusini imemhukumu bilionea anayetarajiwa kurithi kampuni Samsung Lee Jae-yong kifungo cha miaka mitano jela kwa makosa ya utoaji rushwa. Bw Lee alikuwa ameshtakiwa kuhusika...
0 Reactions
1 Replies
884 Views
Huo ni mtaji kubwa sana. Hawa watu, ndugu zao, jamaa zao, na wanaowahusu wameumia, wamekufa , kesho kura yao inaweza ikawa mtaji mkubwa wa CDM wakiitumia vizuri. Anza sasa na siyo kesho!
0 Reactions
0 Replies
464 Views
Back
Top Bottom