huyu atakamatwa muda si mrefu kwa uchochezi

ZE NDINDINDI

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2016
Posts
1,885
Reaction score
4,014
hatari sana aisee
atakamatwa kwa uchochezi,aangaliwe kama anayo machine ya efd na kama kasajili biashara na huyo afisa aliyesajili hili jina atakuwa kwenye hali mbaya]
mwishowe hili duka lazima lisachiwe maana uchochezi wa kuwashawishi wazungu wazuie ndege utakuwa ulifanyikia hapo
tundu.JPG
 
Ha ....

Naona umeamua kutuingiza Kingi
 
Kwa jinsi hawa ndugu zetu wa kupokea maagizo wanavyofanya kazi zao. Atakamatwa tu huyu.
 
hatari sana aisee
atakamatwa kwa uchochezi,aangaliwe kama anayo machine ya efd na kama kasajili biashara na huyo afisa aliyesajili hili jina atakuwa kwenye hali mbaya]
mwishowe hili duka lazima lisachiwe maana uchochezi wa kuwashawishi wazungu wazuie ndege utakuwa ulifanyikia hapo
View attachment 574305

Mwenye duka ajiandae kupimwa mkojo!
 
Back
Top Bottom