Ni muda mrefu hapa dodoma tunapata shida ya kutumia huduma ya king'amuzi cha kichina cha continental.
Kinaonyesha picha hafifu za kutetemeka, na kibaya zaidi saa za jioni hakionyeshi kabisa...
Mahakama Kuu ya Kanda ya Kilimanjaro imewakumu watu wanne kifungo cha maisha jela baada ya kukutwa na mihadarati.
Hao ni miongoni mwa watu 8 waliohukuwa kwa makosa yatokanayo na na madawa ya...
Habari
Huku maofisini kuna tabia nzuri na mbaya. Ila leo naomba niongelee hizi tabia mbovu
1. Tabia za kuazimana pesa hasa hasa kwa wanawake wana tabia hizi. Usiombe ukaazimwa pesa na mwanamke...
Dar es Salaam. Imebainika kwamba pamoja na uwepo wa sheria ya makosa ya mtandao lugha ya matusi imeendelea kutumika huku mkoa wa Dar es Salaam ukiwa kinara.
Pia Mkoa wa Mwanza nao umebainika kuwa...
Hivi tangia mkoloni aondoke nini ambacho tumefanya chini ya viongozi wetu kilicho cha Maana na bora kuliko wakoloni wenyewe? Viongozi wetu wako tofauti na wakoloni katika yapi na wapo sawa nao...
Baraza la madiwani wa halmashauri ya wilaya ya Uyui mkoani Tabora kwa pamoja limeridhia kuwafukuza kazi watumishi 27 ambao walibainishwa kuwa walighushi vyeti ili wajipatie kazi pamoja na...
Dar es Salaam. Halmashauri ya jiji la Dar es Salaam imemuomba Waziri wa Fedha, Dk Philip Mpango na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tamisemi, George Simbachawene kuingilia kati mgogoro wa madai juu ya...
Yaani mwanamke ambae niliwahi kumtongoza hapo kipindi cha nyuma tulipotezana kwa mda kutokana na mimi kuhamishwa ghafla kikazi sasa kwa kupindi hicho tulikuwa tunawasiliana sasa ikafika kipindi...
Tanzania
As a UN Report lists Tanzania as the second largest marijuana producer in Africa after South Africa there is fear that the drug is becoming the mainstay of the economy of some remote...
Wadau napenda kujua kama kuna tofauti yoyote ya kisayansi ya namna maradh mbalimbali ya kiutu uzima yanavyosambaa kutoka mtu mmoja hadi mwingine.
Karibuni.
Kama bado haujaoa tuma meseji yako hapa au Dongo kwa mke/mme wako mtarajiwa ukimkumbusha au kumwambia kitu furani.
Ya kwangu kwa mke wangu mtarajiwa ni hii tu.
Somewhere huko alipo mke wangu...
Baadhi ya taasisi zisizo za kiserikali mkoani Arusha zimejitolea kuwaelilmisha na kuwawezesha wananchi katika vijiji vilivyokithiri kwa kilimo cha zao haramu la namna wanavyoweza kupata...
Mtoto Mariana Sifrit akiwa kwenye mashine ya kumsaidia kupumua, muda mfupi baada ya kufikishwa hospitalini. Mtoto huyo alifariki baadaye na inadaiwa kuwa, aliambukizwa virusi hatari vya HSV-1...
Salaamu wandugu.
Napenda nitoe masikitiko na dukuduku langu kwa hawa wanaotoa huduma ofisi za NIDA.
Hawa watu wamekuwa wazembe na watu wanao ona bora tuu liende,unajaza form za vitambulisho baada...
Marekani wanaitwa DEA (The Drug Enforcement Administration) ila huku kwetu bado wapo chini ya Jeshi la Polisi. Kwa maono yangu madogo naona kadri siku zinavyozidi sogea na tatizo kuwa kubwa...
Wadau,
Halotel walivyo sasa ni shida, customer care kuwapata mpaka upige maombi ya mfungo wa kutokula na kunywa maji, protocol yao hata haieleweki, miaka 3 tu wameshiba ivi kweli TZ ni shamba la...
imethibitika kwamba ndege yetu ya kibiashara inashikiliwa nchini Canada kutokana na kesi ya madai ya fidia iliyoshinda kampuni moja ya huko dhidi ya serikali ya Tanzania.... Vyovyote vile iwavyo...