Gharama za TANESCO kwa nguzo tatu

Gharama za TANESCO kwa nguzo tatu

Hajto

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2013
Posts
5,652
Reaction score
5,635
Habari ya asubuhi waungwana,

Naomba kuuliza je gharama ya kuweka umeme mahali panapohitaji nguzo tatu ni kiasi gani?
 
Habari ya asubuhi waungwana,

Naomba kuuliza je gharama ya kuweka umeme mahali panapohitaji nguzo tatu ni kiasi gani?



Kuna bei aliyoiacha Muhongo kabla hajaondoka na ile waliyoweka wenyewe baadaye sasa sijui wanatumia ipi baada ya Muhongo kurejea, maana lazima wajifanye walipitiwa wakapandisha bila kujijua
 
Mie nijuavyo nguzo moja niblaki nne na gharama za kuungiwa kwa kwenye majiji kama Dar na Mwanza ni laki tatu na ishirini elfu. So.hapo ukichukua 400,000X3=1,200,000 plus hiyo 320,000
 
Habari ya asubuhi waungwana,

Naomba kuuliza je gharama ya kuweka umeme mahali panapohitaji nguzo tatu ni kiasi gani?

Nguzo kuanzia 3 inaingia kwenye mradi.. Survey inabidi ifanyike ndio uweze kupangiwa bei
 
Back
Top Bottom