nkulikwa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2015
- 721
- 813
Hivi tangia mkoloni aondoke nini ambacho tumefanya chini ya viongozi wetu kilicho cha Maana na bora kuliko wakoloni wenyewe? Viongozi wetu wako tofauti na wakoloni katika yapi na wapo sawa nao katika yapi? Hivi Kweli tumepata uhuru au tunateswa kwa usingizi wa uhuru!