Tabia zinazokera maofisini na sehemu za kazi

Jurrasic Park

JF-Expert Member
Sep 13, 2013
3,792
6,768
Habari

Huku maofisini kuna tabia nzuri na mbaya. Ila leo naomba niongelee hizi tabia mbovu

1. Tabia za kuazimana pesa hasa hasa kwa wanawake wana tabia hizi. Usiombe ukaazimwa pesa na mwanamke bora mwanaume mwenzako.

2. Tabia ya kuomba ununuliwe soda, maji, chai n.k. Ukiwa na workmate wa kike hapo ipo shughuli. Ukiona unasifiwa sana ujue na mizinga itakuja tu no way.

3. Tabia ya kuombwa uchangie huduma wakati umepewa lift. Mfano gari lipate shida wakati umeomba lift, hahaha hapo lazima uchangie gharama heri kutembelea mwendo kasi tu kuliko vya watu.

4. Tabia ya kuomba uongezewe hela kidogo hasa hasa kwa wanawake mara luku nadaiwa, pango n.k

5. Tabia ya kuitana itana mrembo, cwty, hb mi sizipendi.

6. Tabia ya workmate wa kike kuomba kusaidiwa mpaka kuwasha computer inanikera sana, kwa nini usiombe jinsia yako.

Embu endeleeni hayo ndio yaliyonikuta.
 
Habari

Huku maofisini kuna tabia nzuri na mbaya. Ila leo naomba niongelee hizi tabia mbovu

1. Tabia za kuazimana pesa hasa hasa kwa wanawake wana tabia hizi. Usiombe ukaazimwa pesa na mwanamke bora mwanaume mwenzako.

2. Tabia ya kuomba ununuliwe soda, maji, chai n.k. Ukiwa na workmate wa kike hapo ipo shughuli. Ukiona unasifiwa sana ujue na mizinga itakuja tu no way.

3. Tabia ya kuombwa uchangia huduma wakati umepewa lift. Mfano gari lipate shida wakati umeomba lift hahaha hapo lazima uchangia gharama heri kutembelea mwendo kasi tu kuliko vya watu

4. Tabia ya kuomba uongezewe hela kidogo hasa hasa kwa wanawake mara luku nadaiwa, pango n.k

5. Tabia ya kuitana itana mrembo, cwty, hb mi sizipendi

6. Tabia ya workmate wa kike kuomba kusaidiwa mpaka kuwasha computer inanikera sana kwa nini usiombe jinsia yako

Embu endeleeni hayo ndo yaliyonikuta

No 1. Hakuna kitu kama kuazimana pesa... Pesa hukopeshwa.
 
Wanawake wana matatizo sana maofisini...mm sipendi tabia ya kuletewa kadi ya mchango mtu hata simjui utasikia ndg yangu anaoa sijui nn hali yenyewe sasa hivi tete bora kipindi cha nyuma ilikuwa afadhali nakataa tu siku hizi wala simuonei mtu aibu

Cha ajabu hawawapelekei wanawake wenzao. Ofisi hii niliyopo hapa na mimi nishakuwa kama wao kila kitu kigumu naombwa mimi duhh
 
而已佛羅里達嗯的惡毒你。。
雙腿 嘎

Laiti ungeweza kusoma na kurlewa kilichoandikwa hapo ungekua Mwanaume na sio 嘎有

Vyovyote utakavyo fanya poa tu!

Sasa unaandika kichina ili iweje. Raha ya lugha ni mawasiliano na kuelewana anyway ni akili zako zinazokutuma kuandika kichina lakini halibadiliki nenda kwa mademu wako mkaharibu nyuzi nyingine
 
Tatizo la wanawake hasa wasomi wamekosa ubunifu wa kuwa chachu ya kubadilisha jamii kupitia elimu yao , badala yake wanawaiga wale akinamama wa mtaani ambao hawajaenda shule kabisa kwenye kitu kiitwacho " MCHEZO" nadhani hii ni aina ya vikoba, unakuta fedha zote anamalizia huko anabaki kuishi kwa mizinga tuu.
 
Usilogwe hata siku moja ukamkopesha bidada pesa.... We fanya kumpa tu... Ukimkopesha labda ulipwe mbunye...

Kwa kweli babu nishajifunza aisehh maana nilipoona ule uzi wa LadyAJ wa mdogo wake anamtongoza nikajua tu mtongozo hauanzii mbali
 
Back
Top Bottom