Hivi kwa nini baadhi ya wanawake ni wepesi kukataa kuwa hawajawahi kuzaa

wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
24,688
26,795
Yaani mwanamke ambae niliwahi kumtongoza hapo kipindi cha nyuma tulipotezana kwa mda kutokana na mimi kuhamishwa ghafla kikazi sasa kwa kupindi hicho tulikuwa tunawasiliana sasa ikafika kipindi hakuna tena mawasiliano nae tena nikaaa mda kidogo bila kumpigia maana kila nikipiga alikuwa hapaitikana juzi kati hapa nikampigia mdogo wangu cm nikamuuliza vipi mtu fulani yupo? Dogo kanijibu yupo ila kajifungu..mi nikamuuliza dogo vipi kaolewa nini..dogo kasema hajaolewa kuna jamaa alimbebesha mimba akaingia mitini hivyo huyo dada yupo kwao analelea mtoto wake sasa juzi wakati niko likizo nimekutana nae na mwanae mi nikajifanya sijui kama ni mwanae nikamwambia naona umemsaidia wifi yako asee yule dada alidakia haraka haraka eeee bwana nimemsaidia wifi anajisikia vibaya nimemwacha anakuja nyuma huko polepole
Nilicheka kimoyo moyo sana sijui aliwaza nini kukataa kuwa yule sio mwanae
 
Wabongo tuna mazoea ya kuuliza vitu vinavyoonekana, mtu amekukuta unakula anakuuliza Eti unakula, wakati fika anakuona unachofanya mtu WA hivi ni una mjibu Hapana sili, ninatema.

"Nitabaki kuwa mpinzani hata Chadema ikichukua nchi"
 
Tukatae na kukubali tu hilo Swala hata lingekua upande wako usingekubali kirahisi hivyo, wakati namtongoza mke wangu huyu aliniuliza anaona Instagram nipo na katoto flani hivi je ni mwanangu? Haraka nikakataa ila dhumuni ilikua hayakua mazingira rasmi kumuambia angeniona wa ajabu na pengine nisingekua naye tena. Nikamtafutia mazingira mazuri ya beach Kigamboni huko nikaanza kumsimulia historia hadi kumuambia huyo ni mtoto wangu, alistuka lakini ndio hadi leo mke wangu
So inawezekana huyo kakujibu hivyo maana labda kabaini akikuambia ni mtoto wake unaweza kumuona ni malaya hivi, so anakuvutia kasi akupange namna alivyoishia kupata ujauzito
Kua na subira

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah! Mi nna danga langu liko vizuri sana! Wakati namtongoza aliniambia yeye hana mtoto mimi nilimwambia ukweli nna mke na watoto lakini kila nnavyopiga nikicheki chuchu na tumbo nashtuka shtuka nahisi alishawahi kuzaa! Kwao anaishi na dada yake na anasema dada yake ana watoto wawili lakini nna wasiwasi mmoja ni wake wa kwake. Mimi sina tatizo yeye kuwa na mtoto mimi nimemmpenda lakini sijui kwa nini anaogopa kuniambia....Siku moja nilimpigia simu usiku kabla hajajua ni mimi nimempigia akaniambia "nimeshakumbia mtoto mzima anaendelea vizuri nikamuuliza mtoto yupi akakata simu na nikimuuliza anazungumzia mtoto yupi huwa anakwepa swali hilo!
 
Back
Top Bottom