Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hawa wa NIGERIA huku ULAYA wanaiba lafau wanapeleka HOME anyway Mods tuachie basi hii mpaka Jumapili jioni kwani nina mapicha kibao "ya heshima nitaweka hapa" jamaa wamerudi kwa ajili ya...
0 Reactions
65 Replies
18K Views
Nimekuwa nikishangazwa sana kwani mihimili yote inaweza kurusha matukio yake kwenye TV isipokuwa Mahakama, tumekuwa tukishuhudia hata matukio ya aibu ndani ya Bunge yakiruka live. Hivi ni sheria...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwanza kwa wasiofahamau Mji wetu wa Dar ulijengwa kwa kufuata mfumo wa apartheid, Wajerumani waliupanga hivyo yaani maeneo ya Wazungu (Oysterbay, Msasani), ya Wahindi/Waarabu (Upanga, na maeneo ya...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Habari JF, NMB inapenda kuwafahamisha njia tofauti za kutoa ripoti au taarifa inayohusiana na wizi, udanganyifu, hongo, rushwa na makosa ya mtandaoni( Kama kushirikisana password), kupeana kazi...
4 Reactions
17 Replies
3K Views
Muhitaji tuwasiliane pm Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ni mji ambao kuanzia Juni mpaka Septemba unakuwa na hekaheka kuliko wakati mwingine wowote. Wafanyabiashara kutoka maeneo mbalimbali wanaingia katika mji huo kununua mchele kwa ajili ya kwenda...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Katika kuonyesha hali ya kuchukizwa na maamuzi yaliyofanywa na serikali juu ya swala zima la ubomoaji wa nyumba za Kimara,wananchi kupitia mtandao wa kijamii twitter wamekuja na #VichwaVyaMagazeti...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Kwa watumishi wa umma umnaosubiria nyongeza ya mshahara serikalini, Payroll kwa ajili ya malipo ya mshahara zimeshatoka na zinaonesha kwamba hakuna kiasi chochote cha nyongeza hata kwa wale...
9 Reactions
129 Replies
16K Views
Kuna watu niliwasikia kuna wanafungua kesi. Nadhani ni LHRC. Mwenye updates tafadhali.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kila mtu muongo hudanganya lakini sio kila anaekudanganya ni mtu muongo katika kitapita za hapa na pale na ktk kuchangamana na jamii yetu nimejifunza kuna makundi mawili inabidi tusiyachanganye...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Yaani leo nimekasirika kweli kweli ...nimempeleka babu yangu wa miaka 89 muhimbili...nikifahamu wazee matibabu bure... nashangaa naletewa gharama za vipimo ambavyo ni 400,000 na bila kulipa...
0 Reactions
2 Replies
859 Views
Nimeicopy Facebook FURAHIA MAISHA MVUVI mmoja alikuwa amejilaza ufukweni, akivuta sigara yake huku akiburudishwa na upepo pamoja na mandhari. Ghafla, alitokea bwana mmoja tajiri mkubwa katika...
5 Reactions
8 Replies
3K Views
TTCL bado kuna changamoto sana hasa upande wa kuajiri people with brains. Shirika la umma linaendeshwa kama kampuni ya familia... Yaani kujazana watoto na wazazi wao ndio mtindo wao..shirika la...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Wadau hii ni story ya kweli ilinitokea nilipenda pia kuwa hadithia wenzangu huenda kuna jambo tunaweza kujifunza hapa. Ilikuwa ni siku ya Alhamisi nikiwa natoka katika mihangaiko yangu ya kila...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari wakuu, hapa nataka tutumie vipaji vyetu vya kubashiri kwenye mambo ya msingi kidogo. Tusaidiane kuweka vichwa vya habari vya issue kubwa kubwa za kiuchumi zilizotokea africa mashariki kwa...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari zenu keaho nimeamua mwenyewe kuachana na Halotel nahamia zangu Ttcl rasmi. Nimejaribu kuwavumilia haka kamchezo kao ka kupoteza dira kwenye suala la internet coverage, Lakini yamenishinda...
3 Reactions
63 Replies
6K Views
Salaam. Msaada wa kupata visa ya Macedonia. Je kuna ubalozi wa Macedonia Tanzania.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Uchumi na Viwanda kudorora zaidi baada ya mauzo ya bidhaa kutoka ndani ya Tanzania kushuka kwa Trilioni 1.6 kwa mwaka ====== Alarm bells over Tanzania's manufacturing sector welfare continue to...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hotel 92 iliyopo Sinza Shekilango road yabomolewa kwa amri ya mahakama. Mpaka maduka yavunjwa na wenye mali kuchanganyikiwa. ======================== Jengo la iliyokuwa hotel 92 Sinza Shekilango...
1 Reactions
83 Replies
18K Views
Aidha TUCTA imesema inajua watu hao walifanya makosa, lakini serikali inapaswa kuwasaidia, ili kupunguza umaskini mbeleni kutokana na wengine umri wa kustaafu ulikuwa umekaribia. Hayo yalisemwa...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…