weekend special=picha mchanganyiko

Game Theory

JF-Expert Member
Sep 5, 2006
8,558
0
Hawa wa NIGERIA huku ULAYA wanaiba lafau wanapeleka HOME
anyway Mods tuachie basi hii mpaka Jumapili jioni kwani nina mapicha kibao "ya heshima nitaweka hapa"
jamaa wamerudi kwa ajili ya mapumziko...na cribs zao si mchezo
this is Obi's pad .. note that almost all houses have gates. That's one thing that is different out there, you gotta have a gate and a guard, a driver/chauffeur, and a stand-by generator (for when the power goes out). It sounds like something only rich folks have but almost everybody has these things.


 

Game Theory

JF-Expert Member
Sep 5, 2006
8,558
0sema jika lake noma...nyumba nzuri lakini alitakiwa an invest more in that kitchen


jamaa ana collect spoons
of course inabidi uwe na Ryde YA MAANA


WATU WA ULAYA HAWA HAPA

 

Game Theory

JF-Expert Member
Sep 5, 2006
8,558
0
Ok na mimi mchango wangu...DAR NA ZANZIBAR


hapa ni pale pembeni CBE COLLEGE WANA CBE MPO?KULIA HAPO KWENYE RANGI YA GREEM NI ULE MSIKITI UNAITWA MSIKITI WA MWINYIKHERI...JIRANI NA ILE RESTAURANT YA WALEBANON INAITWA CEDARS CLUB

UDOSINI..KISUTU

UDOSINIMAKATABA...KULIKUWA KUNANUKA UVUNDO WA VITABU...SIE WENGINE TUKAMUA KUCHUA UMEMBER BRITISH COUNCIL NA USIS PAMOJA NA GOETHE INSTITUTE

OPPOSITE NA MAKTABAOPPOSITE NA MAKTABARAHA TOWERS..MNAKUMBUKA TULIAMBIA HILI NI JENGO LA MAMA SITTI MWINYI? BASI PALE CHINI KULIKUWA NA OFISI ZA GULF AIR...juu SALAMA TOURS NA AKINA MUSLEH(nasikia wamefungaOPPOSITE YA POSTA MPYA HAPO KUNA KITUO CHA DALA DALA ZINAZOENDA KAWE,MIKOCHENI B, MASAKI NA KINONDONI

OF COURSE TUSISAHAU WANAFUNZI WA KISUTU WALIKUWA WANAFUNGA ILE MBAYA HAPO


MNAPAKUMBUKA HAPO alitalia? jengo hilo ni opposite na TDFL BLG zamani ofisi za wale matapeli wa IPTL walikuwa hapoaTanganyika motors nao hawakua mbali sana na hapo ...nakumbuka enzi zangu nilikuwa nafunga sana aple USIS (American library) kwenda kutazama ABC wakati AIDEED alipokuwa anawapa tabu Americans in Mogadishu....nadhani ilikuwa 1992 hivi


 

Game Theory

JF-Expert Member
Sep 5, 2006
8,558
0
Clock tower


Ocean view


Ocean front street


Askari monument


Street scene


Duka la dawa (pharmacy)


Shady street


Lutheran church


Average street


Store manager


Dar womenStreet scene


National museum


Museum premises


Prehistoric cave art


Ancient trade routes


Husuni Kubwa, Kilwa
 

Game Theory

JF-Expert Member
Sep 5, 2006
8,558
0
ZENJIStone Town beach


SOKO LA DARAJANI


WADOSI WA KIZENJI
SELO YA WATUMWA YA ZAMANI
MAKUMBUSHO YA UTUMWAAnglican cathedral


Art vendor


KIJIWE CHA WANA JF HUKO ZENJI


Beit al-AjaibForodhani Gardens
Rooftops
 

Game Theory

JF-Expert Member
Sep 5, 2006
8,558
0
House of Wonders AU BAITL AJIBI


Intersection


Sugarcane juice


House of Wonders AU BAILT AJIBAlley


Posh part of Stone Town


Average street


MILANGO YA KIZANZIBARI

Hamamni Persian Baths


BalconiesAverage street


Alley


Freddie Mercury's house

NYUMBA YA AKINA FREDDIE MERCURY HUYU ALIKUFA HAPA UK NA UKIMWI ALIKUWA ANA MIWAYA NA ALIKUWA BAND MEMBER WA QUEEN...MAARUFU SANA HAPA UK


KANISA


KAUNDA ROAD
 

Game Theory

JF-Expert Member
Sep 5, 2006
8,558
0
BACK TO DAR....


MAGOROFA YA AMBAYO NI EXPENSIVE PER SQM KULIKO CANARY WHARF AU WALL STREET ACCORDING TO ILE KASHAFA YA GAVANA NA RAFIKI ZAKE...HAYA YANAITWA MAGOROFA YA GAVANA BALALI YA BOT aka BALALI TOWERS
 

Game Theory

JF-Expert Member
Sep 5, 2006
8,558
0
DIA..naona wamebadilisha jina limekuwa refu mno Dar es Salaam


Kilimanjaro Hotel, Dar es Salaam


Kempinski Kilimanjaro Hotel, Dar es Salaam


The freshly renovated Kilimanjaro, Dar es Salaam


Kilimanjaro Hotel, Kivukoni Front Road, Dar es Salaam


BABALI TOWERS


BALALI TOWERS,Bank of Tanzania, Dar es Salaam


Bank of Tanzania, Dar es Salaam


KIVUKONI


BANDARI YETU INAVYOONEKANA KUPITIA KILIMANJARO HOTEL


National Bank of Commerce


NBC - National Bank of Commerce,


New Africa Hotel,


New Africa Hotel, Azikiwe St, Dar


New Africa Hotel, Maktaba Street, Dar es Salaam


New Africa Hotel, Maktaba Street, Dar es Salaam


Azania Front Lutheran Church...Hapa kulikuwa na ofisi za SWISS AIR(2006)


KIVUKONI....


View of Dar es Salaam from the Lutheran Church


St. Josephs, Office of the VP, Old Post Office, Dar es Salaam
 

Game Theory

JF-Expert Member
Sep 5, 2006
8,558
0


Dar es Salaam harbor seen from the tower of Azania Front Lutheran Church


Central Dar es Salaam from the Azania Front Lutheran Church


View of Dar from the Lutheran Church with the Bank of Tanzania twin towers in the distance
Dar es Salaam Railway Station, Railway Street


Clock Tower Roundabout at Railway Street and Samora Ave, SASA PEMBENI KULIKUWA NA JAMAA ANAITWA FILIPINI KAMA UNAELEKEA CENRAL POLICE...WEWE UKIIBIWA REDIO AU CHCOHOTE ELECTRONIC BASI IKENDA KWA FILIPINO UTAKUTA MALI YAKO LAKINI ITABIDI UINUNUE TENA....KULE MWISHO KULIKIWA NA JAMAA MA TWIN WAKIHAYA WALIFUNGUA SHULE INAITWA MODERN COMMERCIAL INSTITUTE (sijui kama ipo)


Clock Tower Roundabout with AIDS ribbons


JM Mall with Shoprite, Samora Ave, Dar


Samora Ave at Morogoro Rd, Dar es Salaam


United Bank of Africa


POSTA NA SIMU
Askari Monument dedicated to Africans killed in WWI, nilishauri hii iondolewe ihamishiwe kwingine kwani hii round about inaongeza congestion


Circle on Samora Ave at the Askari Monument
Circle on Samora Ave at the Askari Monument


Sukari House, Dar es Salaam


Sukari House, Dar es SalaamPPF Tower, Dar es Salaam


Evening view from the top of the Kempinski Kilimajaro Hotel, Dar es Salaam
That's that Maritmie Controller buidling in the BackGround


Twin towers of the Bank of Tanzania, Dar es Salaam with a local ferry
 

Game Theory

JF-Expert Member
Sep 5, 2006
8,558
0


New control tower for the Port of Dar es Salaam


Port of Dar es Salaam control tower


Dar es Salaam fish market


Dar es Salaam fish market and control tower


Twin towers of the Bank of Tanzania behind the seafront of Ocean Road, Dar es Salaam with an outrigger sailboat


Fishing boat with the Dar es Salaam skyline


The sad ship MV Zahara beached in central Dar es Salaam


St Joesph's Cathedral under cloudy skies with the Sea Express II
 

Kasana

JF-Expert Member
Apr 3, 2007
417
195
ahsante mkuu, umetupeleka nyumbani, kwa dakika kadhaa,
hizi picha zilipigwa week end vile? (au public holiday?)
 

Game Theory

JF-Expert Member
Sep 5, 2006
8,558
0
sasa ni wakati wa video....

[media]http://www.youtube.com/watch?v=r6uwTGXbHu4&eurl=http%3A%2F%2Fwww%2Eskyscrapercity%2Ecom%2Fshowthread%2Ephp%3Ft%3D430948%26page%3D2[/media]
 

Game Theory

JF-Expert Member
Sep 5, 2006
8,558
0
Nyerere Pension Tower

WANJA LETU LA KIMATAIFA AMBALO SALIM AHMED SALIM ALIPOTOA WAZO LA KULIJENGA AKAAMBIWA ETI PROJECT NI YA ANASA SANA...THE SAME SENTIMENTS AMBAZO ZINATOLEWA KUHUSU UWANJA WA KIMATAIFA KUJENGWA BAGAMOYO IN 2007

[/QUOTE]

WANJA LETU LA TAIFA HILOOOO[/QUOTE]

POSTA MPYA


 

Game Theory

JF-Expert Member
Sep 5, 2006
8,558
0
msikiti wa NGAZIJA karibu na SYKES TRAVEL..watoto wa mjini mtaukumbuka ulikuwa mdgo sana huu msikiti enzi hizo

 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom