Wakati kabla ya mambo ya kushinda na njaa hayajaanza ilikua ukienda hata sa12 tuu huikuti.
Je, wakina nani hua wanakula sana Nguruwe hadi kwasasa iwe inabaki nyingi? Nini kimetokea?
Karibu...
1 WAKORINTO 6
1 Je! Mtu wa kwenu akiwa ana daawa juu ya mwenzake athubutu kushitaki mbele ya wasio haki, wala si mbele ya watakatifu?
2 Au hamjui ya kwamba watakatifu watauhukumu ulimwengu? Na...
Nimekuwa nikipita eneo la Mbezi Beach Africana, kwenye kona ya upande wa njia inayoelekea Kinzudi, kuna kiwanda cha zege kinachotiririsha maji machafu barabarani (hasa baada ya kusafisha magari...
Hii ni barabara ya kutoka Mchinga 2 kuelekea Kijiji cha Ruvu ni mbovu mno, hapo ni eneo la Mkandiwata, Jimbo la Mchinga Manispaa ya Lindi, Mkoani Lindi, watumiaji wanapata changamoto sana.
Vijiji...
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana ma Dawa za Kulevya imemkamata Msimamizi wa Hosteli ya Wanafanzi Semvua Sangi (31) iliyopo Mtaa wa Nyasa Kijitonyama Jijini Dar es Salaam akiwa na Pakiti 144 za...
Naombeni mnipe ushauri nifanye nini
Nilitaka kumweka mzazi kama mtegemezi kwenye bima yangu ya Afya
Walinikatalia nikawauliza wakaniambia jina la mzazi kwenye cheti changu cha kuzaliwa lipo...
Je kati ya Tanzania vs UK ipi nchi yenye rasilimali nyingi za asili zaidi?
Kwa ujumla, Tanzania ina rasilimali za asili nyingi zaidi kuliko Uingereza (UK).
Kwa nini Tanzania ina rasilimali...
Barabara ya Kitangiri Mihama Mkoani Mwanza ni mbovu sana, ilikuja Kamati ya Bunge ndiyo wahusika wakafukiafukia mashimo ili wakakakague zahati lakini mpaka sasa ni hatari, ni Wilaya ya Ilemela...
Wasalaam wanajamvi.
Jamani kuna jambo linanifikirisha kwa muda sasa, hivi kuna uhusiano wowote kwa vijana wa makamo wanaorudi toka ughaibuni na kufeli maisha? Nimekutana na case Kama tatu hivi...
Nimekuwa nikifanya tafakari sana za juu ya suala la Yesu. Nimefunguka pakubwa sana sina shaka hata kidogo juu ya Uana wa Mungu wa Yesu. Wengi wanapomfikiria Yesu wanajenga kichwani hisia za Picha...
Hu mjadala ni kwajili ya maarifatl tu sio kushindana au kukashifu imani zingine tafadhari.
Kulingana na Biblia, katika Injili ya Luka, kulikuwa na mwizi aliyekuwa anasulubiwa pamoja na Kristo...
Je wakati Yesu anazaliwa shetani alikuwa amefungwa?
Kulingana na Mathayo 12:29, je, Yesu alikuwa amemfunga shetani wakati wa kuzaliwa kwake?
Ili kupata jibu, ni vizuri turejee Mathayo 12:29...
Ni kwa vipi Yesu Kristo anaombea wanadamu mbinguni
Ni wapi maandiko yanasema Yesu anaombea wanadamu
Katika maandiko, Warumi 8:34, yanasema,
“Ni nani atakayewahukumia adhabu? Kristo Yesu ndiye...
Habari zenu wakuu.
Mnamo mwaka juzi (2024) nilibahatika kupita barabara inayotoka kimara mwisho kuelekea bonyokwa mpaka kinyerezi nilikuta ujenzi wa barabara ukiwa upo kwenye hatua za awali...
Siyo tu Nikki wa pili alimsomesha huyu binti, Bali huyu binti aliibuka mwanafunzi Bora wa uhasibu ngazi ya degree na Kwa Sasa ni CPA (certified Public Accountant) .
Huyu si mwingine ni Nickson...
Abiria tunatoka kanda ya ziwa kuelekea Arusha na Moshi tumekwama hapa Shinyanga gari imekatika spring T646 EKS ya kutoka Tarime kwenda Moshi so tupo kwa mafundi wa kilocal wanachomelea hizo...
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima, amekemea uzushi unaoenezwa na baadhi ya watu wenye nia ya kupotosha jamii kuwa mwanaume akishikwa bega...
Hata kama ni kweli zaidi ya miezi mitatu anawalawiti alafu anakuja kukamatwa mwezi huu!
=======
Watu Watatu wakazi wa Wilaya ya Igunga, mkoani Tabora wanadaiwa kulawitiwa na mtumishi wa...