Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nlipomaliza chuo July 2013, niliondoka nkaelekea Tanga kwa ajili ya mapumziko ya mwezi mmoja na pia kwa ajili ya kusambaza bahasha za kaki, ilipofika september nikaamua nielekee mkoa flani nkaenda...
5 Reactions
19 Replies
2K Views
Uchaguzi wa Kenya unarudiwa!
0 Reactions
37 Replies
3K Views
http://youtu.be/UODCeqpVEEE
12 Reactions
71 Replies
51K Views
A.alaykum, Ebwana Mola anajua ubaya wa hii kitu inaitwa pombe ndomana akakataza ila bado wandewa wanakata maji. Mtu mmja aitwae Gilpin amekua akitengeneza whiskey kwa kutumia mikojo ya wagonjwa...
2 Reactions
21 Replies
4K Views
SIRI 39 ZA KUWA MILIONEA; 1.Tafuta fursa kila kona 2.Tumia kipaji chako 3.Kuwa na nidhamu katika fedha- matumizi mazur ya pesa, nidhamu kwa watu wanaokuzunguka,usijikweze, usibague jamii...
2 Reactions
7 Replies
6K Views
Babu Seya na Mwanawe wamekaa Jela kwa miaka kibao, Kitilya, Sioyi, na sasa Rugemalira wote hawa wako ndani, lkn mtu mweusi anajaza serva hapa kuwapigania Manji na Singa singa waachiwe, kwa nini...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari rafiki, Nimekuwa nawashauri watu ambao wanataka kuingia kwenye biashara na hawajui pa kuanzia basi waingie kwenye biashara ya mtandao (network marketing). Huu ni mfumo bora kabisa wa...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli amewatakia Waislamu na Watanzania wote Sikukuu ya Eid El-Hajj huku wakiwataka kuendelea kudumisha upendo, amani, umoja na mshikamano...
4 Reactions
32 Replies
3K Views
Wanajukwaa, Asubuhi hii niliamkia Ubungo stendi kuu ya Mabasi - mikoani na nchi za jirani. Napenda kutoa pongezi kwa Jeshi la Polisi kwa namna ambavyo limeendesha ukaguzi wa kila basi linalotoka...
4 Reactions
35 Replies
3K Views
hapa nazungumzia biashara ndogo zenye mauzo chini ya 14 millions kwa mwaka. ukipita mitaa mingi huku uswahilini kwetu utasikia kila mmoja analia hali imekuwa ngumu. Mama mmoja amesikika anasema...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Naona Sasa tumevuka mipaka kama tumeanza kuligusa na kutoa maneno ya dhihaka dhidi ya wapiganaji wetu yaani majeshi yetu ktk mitandao. Najua ktk utendaji wa kazi yoyote ile mapungufu hayakosekani...
4 Reactions
102 Replies
9K Views
Tukio lilitoke katika kijiji cha Salunda, Bariadi Majira ya Jioni ni baada ya Mwanamke Mmoja aliegongwa na gari na Watu wasiojulikana nakisha kutupwa mtaroni, kwa mujibu ya maelezo yanasema kua...
1 Reactions
35 Replies
3K Views
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF, Wallace Karia ameiagiza Bodi ya Ligi kuwachukulia hatua watendaji wote wa bodi hiyo walioboronga kwenye upangaji wa ratiba ya ligi kuu Tanzania...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
I take this opportunity to wish all JF members and their families EID Mubarak. With the grace of Allah may all Tanzanians prosper in wealth, health, happiness and unity.
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Breaking News: Mahakama Kuu ya Tanzania imetupilia mbali rufaa iliyofunguliwa na kampuni ya Tigo kupinga kuwalipa wasanii AY na MwanaFA Tshs 2,185,000,000 kwa kutumia nyimbo zao bila kulipa...
10 Reactions
143 Replies
25K Views
Wakuu, Naombeni tushare mawazo na mitazamo ni kituo kipi cha matangazo ni bora Tanzania. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Samson Petro, mwenye umri wa miaka 18 (msukuma) mkazi wa Olasiti, Arusha anatafutwa na Polisi akidaiwa kuhusika na matukio ya utekaji nyara. Kesho zoezi la kumtafuta likaendelea na jioni zikaja...
2 Reactions
63 Replies
14K Views
Habari zenu wahenga! Naandika hapa lakini mikono inatetemeka kwa hasira niliyonayo baada ya kuingia mitandao ya kijamii na kuona dhihaka kubwa inayofanywa na watu ati wanaojiita ni wazalendo...
8 Reactions
45 Replies
3K Views
..
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…