babkaju3
Senior Member
- Mar 9, 2015
- 118
- 94
Habari wanajamii,
Nimekuwa mteja wa decoder ya azam tv nilivutiwa sana na huduma zao katika king'amuzi chao hapo mwanzo lakina naona kila kukicha wanazidi kutukomoa wateja wake hapo mwanzo ilikuwa muda wa bundle ukiisha unaachiwa baadhi ya channel free kama TBC1, TV1 n.k
lakini sasa hivi iyo TV1 wameitoa na iliyobaki TBC1 kuna wakati ni kama unasikiliza redio au wanaweza wakatoa sauti sasa nashindwa kuelewa Maana ya free channel na ukizingatia kila kukicha wana pandisha bei ya ma bundle yao. ....asante sana
Sent using Jamii Forums mobile app