Ataitwa Pastor Kiranga au nabii kiranga au mtume kiranga.
Atakua mlokole haswa anayenena kwa lugha na atakua anatoa mapepo.
Atahubiri na kueneza neno JF na kwingineko. ataweka hadi spika kwenye...
JamiiForums ni zaidi ya habari, nami nimeona niweke hapa kisa ambacho kinaweza kuwa funzo/somo kwa vijana wengi watafutaji hasa wanaopenda shortcut. Mtanisamehe kwa uandishi wangu mbovu na...
Katika maeneo mengi ya Kariakoo, kumekuwa na ongezeko la nyaya za makampuni ya intaneti zinazofungwa kiholela juu ya nguzo, majengo, na hata kuvuka barabara bila mpangilio. Hali hii, licha ya...
Eneo la Kariakoo gerezani pale njia ya reli limekuwa kero sana kwa muda mrefu kwa kutiririsha maji ya chemba za choo hivyo kusababisha harufu mbaya na maji kutwama pale kwa muda mfrefu
Sina...
Uchawi wa macho a.k.a Evil eye ni aina ya uchawi unaotupiwa muhusika ukuue au kukutaabisha kupitia jicho la mchawi.
Mara nyingi uchawi huu ufanyika katika maeneo yenye umati mkubwa wa watu mfano...
Habari zenu wapenzi husika na mada apo juu nahitaji kwenda mwanza sijawahi fika uwo mkoa naitaji kujua bei ya bus na kampuni gani nzuri ambayo nitafurahia safari yangu.
Wazungu walituaminisha kuwa Kuna watu huzaliwa wakiwa tayari na uwezo wa kufanya vitu fulani, mathalani, kucheza mpira, kuimba, n.k, ili tunaposhimdwa kufanya mambo fulani, turidhike kwa kuamini...
Hili suala la mtu mmoja kula kitimoto nusu kilo na ndizi mbili au ugali peke yake na akamaliza limekaaje kiafya? Huu sio ulafi na matumizi mabaya ya pesa?
Habari zenu wananchi wa Taifa la JamiiForums, leo katika kutafakari kwangu nimewaza sana haya maisha kuna ups and downs nyingi sana ambazo zingine zina utata sana kutokana na makosa tuliyoyafanya...
Vichaa / Wehu / Wasiojihurumia kama ambavyo tumezoea kuwaita ndio wanaoifanya hii dunia ikasogea mbele. Amini usiamini kama hujawahi kufanya jambo ambalo kila mtu wa pembeni yako akakuona unaenda...
Serikali fanyeni mpango wa kuhasi paka wa Bar ili kuwapunguza, wamekuwa wengi sana mpaka kero, kuna paka leo kaniparua kiwiko cha mkono anataka nimpe kitimoto kwa lazima! hii haikubaliki.
Kama nahitaji kujinnasua kwenye hili naomba msaada wa haraka kiupi ni kwamba kadiri siku zinavyozidi kwenda nyama zingine naziona za hovyo mawazo yote ni kitimoto.
Sijui kiafya ikoje kama kuna...
Wakuu, salama?
Kuna hali inashangaza sana.
Mimi ni mkazi wa meneo ya Goba, kabla ya mwezi November mwaka jana (2025) tulikuwa tunapata maji vizuri kabisa na kwa presha kubwa lakini nakumbuka...
Vp wazee
Aisee huku nilipo nikirud tena Jf itabidi nilipwe sasa, maana siku hizi huku kitaa hata maongezi yangu tu watu wananirekodi wengine wanaandika wanadai ni madini matupu
Nikirud...
Hii hadithi ni ya kweli kabisa. Kwa wakazi wa Ilala wachache wanaweza kuwa wanaikumbuka. Sitotaja details nyingi lakini kwa wale wanaofahamu maeneo yale ya Shariff. Nilipanga kule
Si haba miaka...
MUHOOZI ANATAKA BIKRA..😀
Kiongozi wa jeshi la Uganda na mtoto wa Rais wa nchi iyo, ametoa kauli isiyo ya kawaida kwa kuitaka nchi ya Turkish Uturuki itemize masharti yafuatayo haraka.
1)...
Lengo si kuwahamasisha watoto waishie darasa la saba, la hasha kabisa. Lengo ni kuwaonesha wazazi uhalisia wa mambo; kwamba ajira wanazozitamani kwa watoto wao ni chache sana na si kila mtu...
Mchezo huu wa ati mtu anaguswa began, halafu nyeti zinapotea, ni ujinga uliokithiri.
Ujinga huu umepewa promo ili kuondoa majadiliano Makali yaliyokuwa yakiendelea juu ya kupanda kwa gharama za...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amewaasa wastaafu wa Idara ya Uhamiaji kujiepusha na anasa pindi watakapopata mafao yao, bali wajikite kufanya shughuli za uzalishaji ili kuondoa...
Wakati kabla ya mambo ya kushinda na njaa hayajaanza ilikua ukienda hata sa12 tuu huikuti.
Je, wakina nani hua wanakula sana Nguruwe hadi kwasasa iwe inabaki nyingi? Nini kimetokea?
Karibu...