Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Baada ya tukio la shambulio la siraha nzito lililompata muheshimiwa TUNDU LISSU limenirudisha nyuma na kulikumbuka tukio la mauaji ya sheikh wa mji wa Mombasa, SHEIKH ABOOD ROGO ambaye by the time...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Kuna tuhuma ya wizi wa pesa za miradi za Unicef 41 mln zimeliwa ktk mazingira ya kutatanisha na kumekuwa na danadana za nani kala pesa hizo ukweli ukiwa DED na DT ndiyo wahusika wakuu. Mkuu wa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hakimu Khalfan Ulaya aliyeshambuliwa kwa mapanga nyumbani kwake Mtwara amefariki dunia leo katika Hospital ya Muhimbili, Mkwe wake athibitisha. ===== Bwana Khalfani Ulaya ambaye ni Hakimu Mkazi...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Habari zenu wana jukwaa.kama kichwa cha mada kinavyo jieleza hapo juu.HIVI TANZANIA TUNA ASKARI WA KUJITEGEMEA? naomba kufahamishwa kwa yeyote anaye fahamu kuhusu hilo. NATANGULIZA SHUKRAN sent...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Kwenye kipindi cha Magazeti Leo Asubuhi TV ya Chanel 10 wameamua kuvunja Sheria ya Kusoma vichwa vya habari vya Magazeti kwa Kusoma Habari inayo muhusu Mh.Makonda kwa ukamilifu tofauti na Amri...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mkuu wa Polisi wa Wilaya (OCD) ya Sikonge ameagizwa kuchunguza tukio Polisi mmoja wilayani humo kumtolea lugha ya kejeli mwananchi akimhusisha na Mkuu wa Wilaya hiyo mapema mwezi Aprili mwaka...
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Dodoma sio kama dar useme utakwama kwa foleni, hivyo hakukuwa na haja ya kutumia pikipiki waliona ni vyema watumie gari na wataweza kukimbia bila kupatikana. Dodoma hakuna population ya watu...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Freeman Aikael Mbowe Mwenyekiti wa Chadema Taifa amebadili taswira ya Uongozi wake. Freeman Mbowe ameamua kuacha kukisaidia Chama chake kukua na kushamiri badala yake anakusudia kulivunja Taifa...
1 Reactions
31 Replies
4K Views
Natanguliza pole nyingi sana kwa Mh. Lissu pamoja na familia yake kwa tukio baya la kijasusi lenye kuiabisha nchi yetu. Pamoja na upelelezi unaoendelea, napenda kuishauri Polisi na pia chama cha...
11 Reactions
60 Replies
7K Views
Nimekutana nayo hii at allafrica.com East African Business Week (Kampala) Tanzania: New Hope As Petra Diamonds Takes Over Mwadui 7 March 2009 Email|Print|Comment Share: Dar Es Salaam...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ulikuwa umeishika vibaya na ikakuponyoka na kuangukia kwenye beseni..au kwenye dimbwi la maji… au kwenye sehemu ya kuogelewa (Pool).. Hizo ni baadhi tuu ya maeneo ambayo yanaweza sababisha simu au...
2 Reactions
13 Replies
4K Views
Juma George Chikawe Kwanza kabisa nianze kwa kusema nimeumizwa sana na shambulio la silaha alilofanyiwa Ndugu yetu, Mh. TUNDU ANTIPAS LISU, na kumsababishia majeraha makubwa sana. Jambo hili...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Kuna Mwasiasa mmoja huku nchini Puerto Rico ambako kiukweli ndiyo makazi yangu ya muda mrefu kuliko hata huko nyumbani nchini Rwanda anaitwa Ndutu Ssuli nadhani wale wafuatiliaji wakubwa wa Siasa...
14 Reactions
78 Replies
10K Views
Habari, VIMBUNGA; Baada ya kimbunga HARVEY kuisulubu miji ya Hauston,Texas nchini marekani na kusababisha vifo na madhara makubwa kuwahi kushuhudiwa. Kimbunga kingine IRMA kilichoanzia nchi za...
4 Reactions
4 Replies
3K Views
Katika kituo Cha television Cha Norway ,kila inapofika jumatano wana kipindi Cha global music, wanapiga za Asia. America ,Africa Na ulaya, Nashangaa kwa Africa mashariki wanapenda sana music huu...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habar wana JF kama mada juu ilivyo hapo. Hawa wanawak wene midomo kwa nn wanakuwa wagumu kuelewa . hata umfahamishe vipi hasikii. Au wanaona sifa Naomba kujuwa kwa nn wanakuwa hivi.? Sent using...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Ndugu zangu tokea jana Dogo anaumwa,hela ipo kwenye simu nimeenda hospitali nikijua nitatoa hela mpaka sasa hivi nimekwama nikiwapigia wananizingua ,nimeonekana kama tapeli hapa hospitalini...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Press here or See below for English version - Angalia chini habari kwa Kiingereza TAZAMA MWENDO WA SAYARI ANGANI KATIKA WIKI MBILI ZIJAZO Unaweza kutazama mwendo wa sayari ya Mushtarii (Jupiter)...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Wadau kwema?? Last week siku kama ya leo Ijumaa majira ya saa mbili usiku nililipia kifurushi changu cha Azam. Kwa kua kulikua na Bei Mpya na Vifurushi vipya nikasema nilipie tu kifurushi cha...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Kosa moja ambalo lingeweza kupoteza mwelekeo wa mazungumzo yanayoendelea hivi sasa dhidi ya accasia na Tanzania lilikuwa lifanyike, lkn Magufuli kwa kasi ya ajabu akajifuta. Wazungu pamoja na...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…