Mtoa matangazo ya biashara na mwanasiasa wanafanana katika jambo hili:
Wote wanatafuta ku-hack mfumo wako wa kuwaza ili wapandikize software mpya itakayokufanya uwe unawaza kivingine kwa faida...
Kipanya rasmi sasa amejiunga na VodacomRED na atakuwa anakuletea mfululizo wa maisha anayoishi sasa baada ya kujiunga na huduma hii mpya inayotolewa na kampuni ya simu nchini Vodacom Tanzania...
Nimezoea zamani, kila pori lilikuwa halali yetu wasafiri.
Tunachimba dawa Dar hadi mwanza njia nzima imejaa haja ndogo na kubwa za wasafiri.
Kuna baadhi ya vichaka vilibadilishwa kama public...
Hili linahusiana hasa kwenye siasa, serikali ya Tanzania chini ya Ccm na vyombo vya ulinzi na usalama vinaamini mikutano ya siasa kitaifa baada ya kwisha kwa uchaguzi mkuu 2015 inahatarisha...
Ugali ni chakula kizito na digestion yake inafanyika taratibu hivyo matokeo yake digestion haiishi, chakula kinachacha na kuwa kigumu.
Ugumu wa chakula unafanya utumbo kukakamaa na hivyo...
Wasalaam
Kwanza nichukue fursa hii kuwajulia hali wana jf wote na ningependa kwenda moja moja kwenye mada husika.
Leo katika pita pita zangu mtandaoni nimekutana na hii picha hapa chini...
Mwili wa mtoto mchanga anayekadiriwa kuwa na umri wa siku 1, ameokotwa katika mtaro wa maji machafu huko Unga Limited
Mwili wa kichanga waokotwa ukiwa umetupwa kwenye mfereji wa maji machafu...
Hi! Jf. Nimepita maofisi kadhaa ya serikali nikihitaji huduma tofauti kwa nyakati tofauti nimeshuhudia utoaji huduma mzuri japo bado wapo wabishi.Mambo kadhaa ya mazoea yapo naamini...
September 11, 2001 ni siku yakukumbukwa sana na wamerekani baada ya kutokea kwa shambulizi kubwa la kigaidi lililochukua uhai wa watu wengi na kuharibu mali.
Kadhalika mataifa ya Afrika mashariki...
Mwaka 2012 nikiwa ninaishi eneo moja hapa Dar es salaam, nilivamiwa na watu wasiojulikana wapatao 15 nyumbani kwangu saa nane usiku. Nilipambana na watu hawa wasiojulikana kwa dk 20-30 ili...
Habari wapendwa?
Naomba mnisaidie hapa, tuna mtumishi mwenzetu hapa katika kituo cha kazi (shuleni) amekuwa akitoa taarifa nyingi kwa maafisa usalama ambazo ni siri kwetu kama watumishi wa kituo...
hivi kama mtu hana sadaka ndo asije kabisa kanisani..semeni tu kuliko kudhalilisha wanyonge huko ibadani.
naona tukiingia ibadani mmekazia michango hadi tusio nacho tunaona aibu..
ukiingia na mia...
SHIRIKA LA UMEME TANZANIA
TAARIFA KWA UMMA - MKOA WA KINONDONI KASKAZINI
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawatarifu wateja wake wa Mkoa wa Kinondoni Kaskazini kuwa kutakuwa na maboresho...
Wakuu niko Mwanza kikazi na ninatarajia kusafiri early June kwenda Dar maeneo ya Kunduchi Beach kwa shughuli maalum...... naulizia reasonable hotel maeneo hayo na contact zao.
Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Biharamulo Mkoani Kagera, kwa kushirikiana na wakala wa huduma za misitu wilayani humo - TFS imeteketeza nyumba tisini na moja zilizokuwa zimejengwa katika...
Habari
Leo tarehe 11.09.2017 pale ikulu wakati waziri wa sheria na katiba Prof. Paramaganda Kabudi akitoa wasifu wa Jaji mkuu Prof. Ibrahim Hamis Juma alimtaja Jaji Robert ... (jina la ukoo...
Wasallam wakuu..!
Kwenu uongozi wa mabasi ya TASHRIFF hasa yanayofanya safari zake kutoka Dar kwenda Mtwara na Masasi, naomba sana mlizingatie hili tafadhali mimi kama mteja wenu nimeliona na...
Mahita amshtaki msichana anayedai ni bintiye
Na Ummy Muya
ALIYEKUWA mkuu wa Jeshi la Polisi, Inspekta Jenerali Omary Mahita amekumbwa na msukosuko mwingine baada ya binti wa miaka 15 kuibuka...