Swali la usalama wa nchi na wananchi

Swali la usalama wa nchi na wananchi

mtunzasiri

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2012
Posts
1,449
Reaction score
993
Hili linahusiana hasa kwenye siasa, serikali ya Tanzania chini ya Ccm na vyombo vya ulinzi na usalama vinaamini mikutano ya siasa kitaifa baada ya kwisha kwa uchaguzi mkuu 2015 inahatarisha usalama wa raia na nchi kwa ujumla ni vyema ikafanywa na wawakilishi tuu mmoja mmoja kwenye maeneo yao.

Swali kwa watanzania wote je nasi tunaamini hivyo ama lah! Elezea hapa kama ndio unaamini au hapana.

mzee mzima haishiwi maneno
 
Back
Top Bottom