Ni jambo la kushangaza sana kuwa baadhi ya watanzania wajinga,tena wachache wakiamini wapo wengi na wana kundi kubwa,wangependa kusikia mambo yasiyokuwa mazuri tu kwa Taifa letu!!! Kweli ni...
Kuna utafiti nimeufanya mitaani na sehemu nyinginezo hapa Tanzania mtu akisema unatoka 'kanda ya ziwa' basi tutakuwa tunazungumzia mtu wa Mwanza au Kagera au Musoma kwa sababu wapo karibia na...
Hii hali nimekutana nayo maeneo zilipo ofisi za kampuni ya mwananchi (MCL) tabata mwananchi njiani kabisa kuna uvujaji mkubwa wa maji ukipita kama unaenda Ubungo pia kuna maji mengi yana vuja pia...
Habari zenu wakuu,
Natumai nyote hamjambo.
katika kutafakari kwangu, kuna mambo yamenijia akilini juu ya kazi rahisi na kazi ngumu, katika hili nimeona kuwa moja ya kazi rahisi kuliko zote...
Wiki iliyopita nilikuwa nasafiri kwa gari langu binafsi nikiwa na rafiki yangu. Njiani tukachukua abiria (Kama mjuavyo ni jambo la kawaida sana, kama namna ya kuchangia mafuta na wenye magari...
Hii ni kwa wanywaji na wapenzi wa ulabu.
Kuna pombe mpya imeingia mjini inaitwa KITOKO. Hii sio pombe ya kawaida ni hatarious mno. Ipo kwenye vifungashio vya makopo ya plastic yaliyopendekezwa na...
Mkurugenzi Mtendaji wa Jamii Media, Maxence Melo ameitaka TCRA kushirikiana kwa karibu na watumiaji wa mitandao ili kujua mahitaji yao kabla ya kutunga sheria na miongozo ambayo inawanyima uhuru...
Jeshi la Polisi Wilayani MBINGA linamtafuta binti mmoja mwenye umri wa miaka 16 ambaye jina lake limehifadhiwa kwa kosa la kutaka kumfukia mtoto wake mchanga anayekadiriwa kuwa na umri wa siku...
Habari wana jamii wenzangu.
Hii naandika kwa masikitiko makubwa nilikuwa sijagundua hilii. Mnamo tarehe 21/08/2017 nilinunua umeme Bila hizo EWURA & REA sasa kuanzia umeme nilionunua tr...
Jeshi la Polisi wilayani Songea, mkoani Ruvuma limewaua watu wawili wanaosadikiwa kuwa ni majambazi wakati wakirushiana risasi na polisi.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma, Gemini Mushy amesema...
Toka nimekuja hapa nina karibia mwezi sasa, yaani kila baada ya muda barabara zinafungwa full ving'ora eti kiongozi anapita. Anyway, ni haki yao lakini mbona misafara ni mingi hivyo.
Labda...
Kama utaniutani vile nahisi kabisa Tanganyika tunafika pale ambapo Zanzibar walifika zamani sababu ya chuki za kisiasa.
Sitashangaa soon kama watu wakiacha kushirikiana kwenye misiba na sherehe...
Wakati Fulani nikiwa katika mafunzo ya Kijeshi katika chuo cha Mafunzo ya Kijeshi katika Mkoa mmoja hapa Tanzania tulikua tukikusanyika wakati wa jioni kujifunza neno la Mungu pamoja na kutiana...
Hosipitali ya Kilimanjaro Christian Medical Center (KCMC), imekumbwa na tuhuma nzito za ufisadi wa mabilioni ya fedha, yanayo ongozwa na Mkurugenzi mtendaji Dr. Gileard Massenga na Mkurugenzi wa...
Uzi huu uwafikie halotel Tanzania,
Niwaulize mmeanza kulewa sifa? Wiki kadhaa sasa kasi ya internet yenu ni ya mwendo wa Kobe. Inasoma H+ lakini kufungua pages ni inshu, kama kufungua JF ni...
1.Spoken English is NOT the measure of Intelligence. And Spoken English with a Western Accent won't make you better
2.No one cares if you have a big sounding degree or if you are a college drop...
Wana JF, mara kadhaa nimekuwa nikishangaa namna ambavyo TBC1 inaendeshwa.
Tbc1 wanatoa upendeleo katika habari huku ikiongoza kwa kupuuza habari za upinzani na kutangaza za chama tawala.
Tbc1...
Tanesco ya Kisarawe imekuwa kero kubwa kwa wananchi wa maeneo hayo na kusababisha uhalifu mkubwa maeneo hayo kwa kukata umeme sana usiku mpaka kuwapa kero Jeshi la Polisi.
Kama wananufaika na...