Kazi rahisi na kazi ngumu duniani.

MWANASIASA HURU

Senior Member
Oct 4, 2012
181
239
Habari zenu wakuu,

Natumai nyote hamjambo.

katika kutafakari kwangu, kuna mambo yamenijia akilini juu ya kazi rahisi na kazi ngumu, katika hili nimeona kuwa moja ya kazi rahisi kuliko zote duniani ni kutumia pesa, na moja ya kazi ngumu duniani ni kumtafuta mtu asiyejulikana!!!


ni mtazamo wangu tuu, sijui kwako wewe kazi rahisi ni ipi na kazi ngumu ni ipi, labda utuambie.


ahsante.
 
Kazi ngumu kuliko yote ni kuingia mbinguni, jitambue hapa Duniani wewe ni mpitaji


Kazi rahisi kuliko zote ni kufanyika mtoto wa MUNGU unapo mwamini YESU awe BWANA na mwokozi katika maisha yako
Asante
 
Back
Top Bottom