Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

habari wadau.. najua wote tunajua soko lilivyo.. je kwa mtu mwenye degree ya uhasibu na ameongezea na CPA T.... anapaswa kuanza na mshahara kiasi gani.. akiitwa kwenye interview mfano...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Imekua kero sasa kila siku mwakata Umeme kama kuna mgao pugu tu mseme ...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
HERE IS A LIST OF THINGS YOU NEED TO TEACH YOUR CHILD(REN) AT EARLY AGE: 1: Warn your Girl Child Never to sit on anyone's laps no matter the situation including uncles. 2: Avoid Getting Dressed...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Meya wa jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita amefuta mkataba wa kampuni ya ukamataji wa magari Mwamkinga Auction Mart kwa kile kilichodaiwa amekuwa ikifanya kazi kwa kutozingatia matakwa ya mkataba...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
5.4 bilioni zilizochangwa kwajili ya waathirika wa tetemeko mkoani Kagera naomba kuuliza wanajukwaa hivi zile pesa ziliwafikia walengwa? Na kama hazikuwafikia walengwa zimekwenda wapi? Naomba...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu habari zenu! Nawaombeni wakuu Mwenye kujua historia ya yale makaburi ya wachina pale gongo la mboto jeshini, maana huwa naona kama kuna historia fulani naweza kujifunza, naomba kujua...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Madini yapo ardhini, unazungushaje UKUTA huku juu?? Au amesahau kuwa kuna kina El Chapo Guzmane.?? Naomba kueleweshwa........
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Wanabodi heshima yenu. Kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo juu ndio msingi wa mjadala wetu. Hakuna namna mfumo wowote wa uongozi unaweza ukadumu milele katika dunia hii, yaani usipotolewa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mimi ni mmoja wa wahanga wa Police brutality. Na kwa hali ilivyo sasa nchini, haswa hizi mambo za wanasiasa wa upinzani kuchukuliwa kama Majambazi, Magaidi, Majangili na kuonekana kama wao ndio...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Serikali ya Mkoa wa Tabora imeagiza kukamatwa na kuwekwa ndani kwa watumishi wanne wa Halmashauri ya Wilaya ya Igunga na Mzabuni Muhoro Traders kwa tuhuma za udanganyifu wa ununuzi wa vifaa tiba...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Na Prisca Libaga Maelezo Arusha Tatizo la maji katika wilaya ya Longido iliyopo mkoani Arusha linaelekea kuwa historia baada ya Serikali kuwekeza zaidi ya bilioni 20 katika miradi mitatu ya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakati Rais John Magufuli akiwa ziarani Mkoani Arusha ,Polisi nane wakiwemo migambo wa kitui cha Polisi Mbauda wametenda unyama wa kutisha kwa kumpiga risasi na kumvunja mguu mkulima,aitwaye...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Dar es Salaam. Meya wa jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita amefuta mkataba wa kampuni ya ukamataji wa magari Mwamkinga Auction Mart kwa kile kilichodaiwa amekuwa ikifanya kazi kwa kutozingatia...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Bustanini ambako yuda alimsaliti Yesu kwa kumbusu ilikuwa Karibu na kijito gani? Msaada please
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kama kichwa cha habari kisemavyo wanawake ni watu wanaopata pesa nyingi sana kuliko wanaume Wana vitega uchumi vingi kuliko wanaume lakini tatizo lao kubwa ni matumizi ya pesa zao Kati ya...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Mwaka 1994 nilinunua miche ya miti Aina ya girevelia ipatayo 60 ,miche 56 nikaotesha ardhini, miche iliyo baki nikaiotesha kwenye ndoo. Nilinyuzia kwa muda mwezi mmoja ile niliyo otesha ardhini...
1 Reactions
2 Replies
924 Views
Nimesoma kwenye vyombo vya habari kuwa yale majengo ya mradi wa NSSF yatapigwa mnada. Ningependa serikali ule mpango wa kuhamishia Makao Makuu Dodoma ungesitishwa na serikali ingehamishia ofisi...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Serikali kupitia wizara ya elimu sayansi na teknolojia wametangaza nafasi za kazi ya ualimu shule za msingi Kinachonipa wasiwasi ni kwamba katika tovuti ya wizara sijaliona hili tangazo Je ni...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Mwenye kujua hili naomba anielimishe, ukipata kamisheni ya milioni 1 unakatwa laki moja. Hilo ni zoezi la kila mwezi, hii ni sahihi? Wakati huo TRA ulipe kodi, manispaa ulipe tena kodi. Huu siyo...
2 Reactions
26 Replies
7K Views
Taarifa zilizinifikia muda si mrefu, Wanakijiji wamefunga njia baada ya Taqwa kugonga mtu karibu na Makambako.Nimeambiwa labda jeshi liende ndio magari yatapita.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…