Manyawera
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 567
- 1,110
Mimi ni mmoja wa wahanga wa Police brutality. Na kwa hali ilivyo sasa nchini, haswa hizi mambo za wanasiasa wa upinzani kuchukuliwa kama Majambazi, Magaidi, Majangili na kuonekana kama wao ndio tishio kwa usalama na amani ya taifa hili. Ninawaza kurekodi cover au tuseme remix ya nyimbo hizi mbili kwa lugha ya kiswahili na kwa maudhui ya yanaoendelea nchini, ujumbe uwafikie magogoni kwamba raia pia hatuwawazii yaliyo mema. Wakinipima mkojo poa tu.