Wajuzi wa mambo ya rohoni naomba msaada kwenu

Wajuzi wa mambo ya rohoni naomba msaada kwenu

kyula

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2017
Posts
698
Reaction score
460
Bustanini ambako yuda alimsaliti Yesu kwa kumbusu ilikuwa Karibu na kijito gani? Msaada please
 
Wajuzi wa mambo ya rohoni ?????!!!!!
 
Nilikuwa nataka nikujibu seriously ila nilipoona avatar yako roho yangu ikasita.
 
Nilikuwa nataka nikujibu seriously ila nilipoona avatar yako roho yangu ikasita.
Avatar yangu imekufanyaje tena?
Mm ninashida kweli nahitaji msaada
 
Japo mimi sio mjuzi wa mambo ya rohoni lkn soma hapa, Matayo 26:36
 
Back
Top Bottom