Chadema 2030
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,913
- 3,738
Nimeota jana ndoto Tanzania wameshinda Afcon.
Mechi hiyo ya fainali ilikuwa Morocco vs Tanzania. Tanzania walinyakua ubingwaa baada ya kuifunga Morocco 3-1.
Nataman hii ndoto itimie mwaka ujao.
Jamani Tanzania itambulike kimataifa.
Mechi hiyo ya fainali ilikuwa Morocco vs Tanzania. Tanzania walinyakua ubingwaa baada ya kuifunga Morocco 3-1.
Nataman hii ndoto itimie mwaka ujao.
Jamani Tanzania itambulike kimataifa.