Hivi nani alimchagua "Baba J" ?

Hivi nani alimchagua "Baba J" ?

tueur de lion

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2017
Posts
902
Reaction score
782
Habar za weekend ndugu zangu katka imani.
Husikeni na kichwa cha habar hapo juu.Mm ni Mtanzania mwenzenu na kuna jambo limekuwa likinisumbua sana...,nmekuwa nikiwauliza Watanzania tofautitofauti kuhusiana na Mkulu anavyotuongoza na Sera zake kwa ujumla,wengi wanadai hawakumchagua.
Sasa nawauliza tena waungwa...kama sisi/ninyi hamkumchagua je ni nani aliyemchagua?
 
.....Mungu
 
MIMI + WATANZANIA 7000000+
Hapa kazi tu
 
Wengi wanajidai watampagia kura tena mh achenikujifariji shenzi fisiemu dushwaaaaaa
 
Hakuna mtu aliyemchangia kuingia Ikulu....!!

Kumbe wengine walikuwa wanachangiwa...!?
 
Ni Watz wenyewe, tatizo ni kuwa wengi wetu ni wasahaulifu, washasahau kuwa walimpigia kura, kama si ya kwenye box basi ni ile ya kukubali bila kufanya jitihada zozote za kupinga "ushindi" wake!!!!!
 
Back
Top Bottom