Habari Leo,Uhuru,Daily news mara kadhaa hupambwa na vichwa vya habari visemavyo Tanzania huongoza kwa kukua kwa uchumi kwa kasi hapa Afrika Mashariki,na BOT imesema Tanzania ni nchi ya saba...
Hii stendi angalau inamuonekano mzuri kuliko ile inayojiita ya kimataifa pale Ubungo, shida kubwa katika kituo hiki cha Msamvu ni sehemu ya kumpumzikia abiria wakati wakisubiri usafiri, yaani...
Wanajamvi, imekuwa ni jambo la kawaida kwa mabasi kutoka Mwanza Tukuyu Songea Mwanza Kigoma kuzuiliwa Morogoro.
Pamoja na nia nzuri ya usalama lakini abiria wanateseka sana hasa ukizingatia...
Habari zenu familia ya JF. Niende moja kwa moja kwenye lalamiko hapo juu. Mi ni msikilizaji wa mambo mseto ya Radio one kinachorushwa kila jumapili saa tatu hadi saa nne usiku. Maripota wengi...
Dar es Salaam. Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Ally Hapi amesema haridhishwi na hali ya usafi wa mazingira wilayani humo, hivyo amewataka viongozi kuwajibika ipasavyo.
Amewataka watendaji wa kata...
Huu uzi ni kwa ajili ya kujuzwa/kuhabarishwa tu
Naam swali langu ni je kuna sheria yoyote inayo regulate/control makazi ya Rais wa jamhuri ya Ya muungano wa Tanzania
Nimejiuliza je Rais ajaye...
IQ ni kifupi cha Intelligence Quotient, IQ ni kipimo cha akili yako na imeelezwa kwa namba.
IQ ni kipimo kinachoonyesha uwezo wa akili katika nchi.
Nchi 10 zenye uwezo mgodo wa IQ Duniani.
1...
Habari wanabodi,
Marais waliopita ambao ni watangulizi wa JPM wamesemaje kuhusu mafao ya watumishi hewa na hatua zinazochukuliwa dhidi yao? Wapo kimya! Kiutendaji, hawa ndio watu muhimu kabisa...
Hello everybody,
My name is Hannah Gebhardt.
I live in Germany. Up from november until march I will be in Tanzania. I'm interested in agricultural stuff and and have some knowledge about cattle...
Habari wanabodi,
Marais waliopita ambao ni watangulizi wa JPM wamesemaje kuhusu mafao ya watumishi hewa na hatua zinazochukuliwa dhidi yao? Wapo kimya! Kiutendaji, hawa ndio watu muhimu kabisa...
Mara ya Mwisho kusikiliza hotuba za Marais wa Tanzania nilimsikiliza Rais Mkapa na kiukweli kama Mkapa asingekuwa CCM akili alikuwa nayo, sema basi tu. Toka pale nikaja kujaribu kumsikiliza...
Mvua kubwa iliyoambatana na mawe, imeharibu nyumba na mashamba na kujeruhi watu 3 kwenye kata za Mbunda Buganguzi na Ibuga wilayani Muleba Kagera
DC wa Muleba Mhandisi Richard Luyango alifika...
Mabadilikiko ni muhimu ktk maisha ya kila mwanadamu. Yanafanya mtu kuwa mbunifu, yanaleta opportunities kwa wale wenye elimu bora. Yanafanya watu wawe na uwezo ukubwa wa kusolve problems na...
Tunaendelea na ufunuo wa siri ya namba saba...kwenye mwendelezo huo wa siri ya namba saba leo hebu tujadili hizi dhambi saba ambazo ndio kama mizizi saba ya dhambi zote za ulimwengu huu...kwamba...
Kituo cha huduma cha pamoja cha ushuru na forodha cha Rusumo wilayani Ngara kimeanza kufanya kazi kwa masaa 24 ikiwa ni mkakati wa pamoja wa Tanzania na Rwanda ili kupunguza msongamano wa wateja...
Habari wakuu
Kuna utafiti naufanya hapa, naomba mwenye nyaraka zifuatazo anitumie au kunielekeza ninapoweza kuzipata kwa haraka
1. Katiba ya chama cha mapinduzi toleo la mwaka 2017
2. Kanuni za...
Leo kwa kweli kwenye habari ya Saa 2 usiku mmekosea sana. Badala ya kupata mahojiano mlioandaa mnaleta habari tofauti kabisa.
Baada ya hapo mkaamua kuleta habari kutoka Moshi bado mkachemka...
Baada ya kukosa soko la uhakika kwa miezi mitatu huku wakulima vijijini wakilazimika kuuza mbaazi zao kati ya Sh150 na 200 kwa kilo, hatimaye masoko matatu yamepatikana nje ya nchi.
Masoko hayo...
Kama mada inavyojieleza hapo
Uzi huu ni kwa ajili ya kuwasilisha ombi langu kwa kampuni ya Kitanzania inayotengeneza pombe Kali kama Konyagi,Valuu na zinginezo inayojulikana kama Tanzaniania...
Leo kuna mkutano wa Shirika la MajiSafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASCO) na waandishi wa habari na unafanyika hapa Gerezani makao makuu ya DAWASCO. Ni kuhusu Application ya DAWASCO
APPLICATION...