Uchumi

Uchumi

rmo

Member
Joined
Nov 20, 2016
Posts
97
Reaction score
101
Habari Leo,Uhuru,Daily news mara kadhaa hupambwa na vichwa vya habari visemavyo Tanzania huongoza kwa kukua kwa uchumi kwa kasi hapa Afrika Mashariki,na BOT imesema Tanzania ni nchi ya saba duniani kwa uchumi wake kukua kwa kasi zaidi.
Sasa napata mkanganyiko na tamko lililotolewa leo na mtukufu Rais kwamba hataongeza mshahar mpaka uchumi ukue(ingawa hajataja kiwango gani sababu currently ni 6.2%).
Au hizi data huwa ni za kucook?
 
Hapo hapo BOT imetangaza mauzoya nje yamepungua kwa karibu 50%.

Hapo ndipo utakapochoka.
 
Back
Top Bottom