Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habarini waungwana wa JF! Nahakika humu nitapata mwanga mkubwa wapi naanzia kumpata shemeji yangu !EDWIN AUGUSTINO MKUPASI kifupi huyu kaka alimuoa dada yetu mwaka 2003!wakaja kuishi dar...
19 Reactions
296 Replies
23K Views
Ili kuepukana na kuweka nyuzi mbali mbali za kutaka watu wakutakie heri ya kuzaliwa, sasa huu ndo utakua uzi maalum kwa atakae penda kutakiwa heri ya kuzaliwa ataweka tarehe yake ya kuzaliwa siku...
0 Reactions
6 Replies
901 Views
Wakuu za asubuhi. Mara ya kwanza kusafiri nchi za Ulaya nilipata msukosuko sana hasa pale ndege inapopita juu ya bahari yenye kina kirefu au milima mikubwa.Maini huanza kuchezacheza tumboni na...
7 Reactions
65 Replies
8K Views
MUNGU atakusaidia utapona, Juhudi zako wote tuliziona, Tumehuzunika sana kila kona, Wabaya sasa aibu tu wanaona. Ilikuwa tarehe saba septemba, Wakapandisha risasi chemba, Kwa ustadi kabisa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari yenu wakuu, Hii michezo ya bahati na sibu sasa imeshika hatamu. Mtanzania haambiliki, hashauriki, wala hasikiliziki linapokuja swala la kubet hasa ligi ya Ulaya inapoanza. Je hii ni...
7 Reactions
180 Replies
20K Views
Habari zenu kwa ujumla? Reference ya pendekezo langu inatokea ofisi ya NSSF Temeke. Hili linahusu kupatikana huduma zenu kuanzia saa saba mchana (13hrs) mpaka saa nane (14hrs). Mara nyingi baadhi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wanajamvi, Kuna hii akaunti ya facebook ya Jakaya Kikwete kila kukicha inatangaza habari ya mikopo na kama tujuavyo watanzania wengi ngumu kuchuja ukweli na uongo mitandaoni, kuna haja ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Toleo la gazeti la Jamhuri la leo tarehe 3 October 2017 kichwa cha habari Prof. Muhongo alivyoitia nchi hasara ya mwaka ni kielelezo tosha kwa mhariri wa gazeti hilo Manyerere Jackton kuonyesha...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Watu wema wanapolala usiku na kupitiwa na usingizi mzito,roho zao hufanya "khiyana" kwa kutoroka na kuacha viwili-wili vyao kusafiri umbali mrefu sana kwenda katika ulimwengu wa roho...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Watoto wanaodaiwa kuwa na umri chini ya miaka 13 wakiwa wamefungwa kamba na wakazi wa Mtaa wa Starehe mjini Tarime, Mara jana. Watoto hao walishushiwa kipigo wakituhumiwa kuiba bata watatu ingawa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Sakata la wafanyakazi hewa jana limetonesha wadau wengi. Mkuu wa kaya alipambana na wafanyakazi hewa na waliofoji vyeti karibia watu 90,000 wamefukuzwa. Sasa jana mkuu wa kaya aliamua LIVE...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Watumiaji wa mtandao Tanzania bara na Zanzibar sasa watakuwa na tovuti maalum ya IWF ya kutoa taarifa za unyanyasaji wa kingono kwa watoto mtandaoni, bila kujulikana. Leo (Jumanne 3 Oktoba, 2017)...
1 Reactions
13 Replies
5K Views
Do you find leader's war against the media concerning? Why or why not? How important is freedom of the press to you? How can the press be made better? nowadays every leader especially in Africa...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Aiee Mkuu nimekukumbuka tuu natafuta namna ya kuwasiliana na wewe kuna issue flani unishauri kuhusu masuala namna ya kufanya unapodhulumiwa na Rafiki yako kabisa na upanapoahidiwa cheo halafu...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Tanga. Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martine Shigela amesema mkoa wake umekuwa ukitekeleza muda mrefu agizo la ushirikishwaji wananchi katika uchangiaji wa sekta ya elimu kama anavyofanya Mkuu wa Mkoa wa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
TAASISI ya Trademark East Africa imepongezwa kwa kuiwezesha Tanzania kuwa ndiyo nchi inayoongoza nchi zote za Afrika Mashariki kwa matumizi ya mifumo ya malipo kwa njia ya mtandao, kulipia huduma...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mkurugenzi Mkuu Ofisi ya Mwendesha mashtaka Mkuu wa serikali DPP Biswalo Mganga ameagiza hatua kali za kisheria zianze kuchukuliwa kwa waajiri wote Tanzania Bara walioshindwa kujisajili katika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Makada wa ccm walikuwa wanajenga hoja kwamba uwanja wa ndege chato utasaidia rais asisafiri umbali mrefu kwa gari,hivyo uwanja wa ndege ukajengwa chato,uwanja wa kimataifa Mpaka sasa jpm...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Raisi wetu Magufuli tunakuomba baba utusaidie, maana hali imekuwa ngumu baba. Sisi ni wanyonge niko hapa Makutupola pesa hakuna chakula hakuna, tunakuomba baba utusaidie wewe ndio kimbilio letu...
3 Reactions
43 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…