Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mpaka leo hii kipindi ambacho lissu yupo hospital,mwanasheria wake ambae alijitolea mstari wa mbele katika kumtetea kwenye kesi zake hatujamsikia kutoa kauli yeyote na hata hospital jijini nairobi...
5 Reactions
70 Replies
6K Views
Habarini wana jamvi...? Jana katika kipindi cha XXL kuna dada mmoja mtangazaji alikua anaruka live kutoka mkoa wa Iringa, akiongea na kina Adam Mchomvu nimemsikia mimi mwenyewe yule dada akisema...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Estadio Hernando Siles ni Kiwanja cha mpira kinachopatikana Nchi Ya Bolivia iliyoko Bara la Amerika Kusini,Ukiwa umefunguliwa mwaka 1930 na ukiwa na uwezo wa kubeba watu 42000. Uwanja huu uko mji...
2 Reactions
17 Replies
5K Views
1)Binadamu wote ni ndugu na afrika ni moja 2)Nitaitumikia inchi yangu na watu wake wote huku nikiwapendelea zaidi wale wa chama changu CCM 3)Nitajitolea nafsi yangu kutoa ujinga umasiki maradhi...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
" Mfano wa watu wanaotumikia kuwazuia waovu wasifanye ufisadi katika nchi, ni sawa na mfano wa wasafiri walio katika chombo jahazini, wengine wakichukua nafasi ya juu katika chombo na wengine...
0 Reactions
0 Replies
674 Views
Walimu wana imani na mheshimiwa rais kwa jitihada anazofanya kuboresha sekta ya elimu ikiwemo kutoa elimu bure ambayo imeongeza idadi ya wanafunzi, madawati, vyumba vya madarasa. Walimu...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Dk. Helen Kijo-Bisimba na baadhi ya maofisa wa kituo hicho, wamefikia hospitalini jijini Nairobi nchini Kenya kumjulia hali Mbunge wa...
38 Reactions
120 Replies
16K Views
Leo kuna wapenda kuonekana na kupenda sifa za kijinga za kisiasa waliitisha wanahabari na kuzungumza yasiyo na tija! Uzuri wanahabari wanaojitambua waliwapuuza na hata habari yao pia imepuuzwa...
1 Reactions
51 Replies
7K Views
Hivi karibuni Tanesco kisarawe wamesambaza nguzo za umeme katika eneo la kwa Mbiki mtaa wa Zavala. Wakazi wa eneo hilo ambao walihamishwa kutoka Kigilagila takriban miaka saba iliyopita walipata...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mada imejieleza yenyewe.... Kwanini watanzania waliowengi wanapenda sana habari za = Udaku = Umbeya = Majungu Ukifuatilia Facebook, magroup ya whatups Instagram tweeter na hata baadhi ya blogs...
2 Reactions
106 Replies
14K Views
*Ummy Mwalimu aibeba African Sports Club ya Tanga* ----- "Michezo ni Ajira, Michezo ni Afya, Michezo ni Burudani", Hayo aliyasema leo Mhe Ummy Mwalimu, Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Tanga na Waziri...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
MALIPO YA MUNGU NI TASLIMU Ipo taarifa inayosambaa kuwa Oktoba 14, mwaka huu, mali za kampuni ya mnada ya Majembe zitanadiwa. Kwamba waliozoea kunadi mali za wenzao na zao zinaingia mnadani...
49 Reactions
66 Replies
10K Views
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita RPC Mponjoli Mwabulambo amethibitisha kuwepo kwa matukio ya vitendo vya ushirikina katika Kata ya Buhalahala wilayani Geita Mkoa wa Geita. Kamanda Mponjoli...
2 Reactions
37 Replies
7K Views
Magufuli bwana utamtaja tu iwe kwa mabaya au mazuri. Kuna jina gani linatajwa sana Tanzania hii unalolijua zaidi ya Magufuli. Binafisi namkubali sana huyu kaka mkubwa, japo nimetetereka Ki-uchumi...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari zenu wana jukwaa, Kama kichwa cha habari kilivyo jieleza hapo juu, Ni kwamba siku chache zilizopita nyoka aliingia nyumbani(stoo), kitu cha kwanza tulicho kifanya ni kuchoma mpira...
3 Reactions
48 Replies
10K Views
1. Gates predicted that people will carry "small devices" that allow them to constantly communicate with each other, as well as check the news, check flight times and do "just about anything...
3 Reactions
54 Replies
4K Views
Wadau leo nimeona niongelee kidogo changamoto za Elimu hapa nchini. Tumeshuhudia Serikali ikichukua hatua mbalimbali kukabiliana na changamoto za kielimu hususani mapungufu yanayojitokeza katika...
0 Reactions
3 Replies
870 Views
Nianze kwa kukuuliza swali rahisi. Kitu gani kinakupa motisha ya kuamka asubuhi na kwenda kazini? Unafikiri nini hasa kinaongeza thamani ya kazi yako? Kwa mujibu wa utafiti, takribani asilimia...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia , Wazee na Watoto imehitimisha zoezi la uhakiki kwa Mashirika Masiyo ya Kiserikali nchini ulioanza Mwezi Agosti mwaka 2017. Akizungumza...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
barabara ya dar es salaam bagamoyo imekuwa mbaaaaaya hebu ichikini si mnasema mnaingiaga humu? hii barabara imekuwa mbaya mno. tupiamo hapa barabara unayoijua ni mbovu
0 Reactions
0 Replies
705 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…