Kulinda amani katika nchi ni jukumu la wote

Kulinda amani katika nchi ni jukumu la wote

Jindal Singh

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2015
Posts
1,857
Reaction score
1,543
" Mfano wa watu wanaotumikia kuwazuia waovu wasifanye ufisadi katika nchi, ni sawa na mfano wa wasafiri walio katika chombo jahazini, wengine wakichukua nafasi ya juu katika chombo na wengine wakichukua nafasi ya chini katika chombo. na pindi wale wa nafasi ya chini kikiwashika kiu na kutoboa jahazi ili wapate kwayo maji ya kunywa na wale wajuu wakiwaona na kisha kuwaacha kwa kutoboa kwao sehemu yao, basi wote wataangania"
The Prophet Muhammad.

Ndio hivi raia wa nchi yeyote ile anapaswa awe na jukumu la kuhakikisha usalama wa nchi unapatikana na haki inatendeka kwa misingi ya sharia. Na anapotokea kiongozi mwenye kusimamia jambo hili basi huyo ndio afaaye. Haya kwa mwenye kutafakari.
 
Back
Top Bottom