Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ofisa Ufuatiliaji wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (Tasaf) wilayani Biharamulo, Gerald Adolf amewataka wanufaika wa fedha za ruzuku zinazotolewa na mfuko huo kuepuka majungu kutoka kwa wasiowatakia...
0 Reactions
3 Replies
953 Views
Watu wawili wamefariki dunia na mwingine mmoja kujijeruhi baada ya kutokea ugomvi unaohusishwa na wivu wa mapenzi mjni Bunda. Tukio hilo lilitokea jana saa tano asubuhi katika Mtaa wa Bunda Stoo...
0 Reactions
35 Replies
5K Views
Aliyekuwa Naibu Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Hamisi Andrea Kigwangalla ambaye jana ameteuliwa kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii amefunguka na...
2 Reactions
18 Replies
4K Views
Jeshi la polisi mkoani Mtwara linawashikilia watu 17 kwa kujihusisha na makosa ya ubakaji huku pia likiwasaka wengine zaidi ya 80 kwa tuhuma hizo na kuwapa mimba watoto wadogo Kamanda wa Polisi...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Jeshi la polisi mkoani Morogoro linawashikilia watu 11 wakazi wa wilaya ya Morogoro kwa tuhuma za kuhusika kumkata mkono wa kushoto Nassoro Msingili(75) mkazi ya kijiji cha Nyarutanga na kwamba...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
SALAMU KUTOKA NAIROBI. Mtatiro. J Hapa jijini Nairobi leo nimepata fursa ya kumtembelea na kuzungumza kwa kirefu na ndugu yetu Tundulissu. Kama kuna mtanzania imara, asiyeogopa na mwenye maono...
6 Reactions
25 Replies
3K Views
#Habari:Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro amewataka wanasiasa kuacha kuingilia kazi Jeshi la Polisi kufuatia kauli wanazoendelea kuzitoa dhidi ya upelelezi wa tukio la kupigwa risasi...
4 Reactions
33 Replies
5K Views
MWENYEKITI wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM-Taifa), Abdallah Bulembo amesema CCM ya awamu ya tano si ya majaribio, bali ni kukitumikia chama pamoja na wananchi na kutaka wanaotumia...
0 Reactions
1 Replies
965 Views
Wakuu. Hapa dada anakaa kijijini, ana binti aliyemaliza form four mwaka jana kamweleza eti mwaka huu tuandae ada na kila kitu milioni tano, eti kachaguliwa makoroboi akasomee unesi sasa tunawaza...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Maisha bhana. Moshi acha tu iitwe Moshi. Ukiwa Moshi Mjini ,barabara kuu ya Moshi Arusha karibu na Kuringe Social Hall,ukitoka tu sehemu maarufu iitwayo MERCUS..kuna chimbo jipya liitwalo RED...
5 Reactions
19 Replies
7K Views
Hapa umekosa busara za ki utu uzima. Kwa busara ya kawaida tu, usingelimpinga Askofu mwenzako hadharani kama ulivyofanya. Ni bora ungelinyamaza, msemaji mwingine mbali na wewe akatafuta namna ya...
0 Reactions
0 Replies
945 Views
Mkuu wa wilaya ya Mwanga Bw Aron Mbogho awakamata na kuwaweka ndani watendaji watatu wa kituo cha afya cha Kisangara baada ya kuwachangisha wananchi fedha za mafuta ya gari la kubebea wagonjwa...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Jamani napenda kuuliza lini uhakiki wa vyeti vinavyotolewa na Board mbalimbali vitahakikiwa maana uhakika uliishia kwenye NECTA..Mimi naomba pia ufike kwenye vyeti ambavyo vinatolewa na Board za...
0 Reactions
2 Replies
886 Views
Ni wajibu wa kila mtanzania kuliombea taifa lake. Kitabu cha 2 Nyakati 7:14, kinasema kuwa Mungu anaponya nchi wakati watu waliotubu dhambi zao na kumwelekea Mungu watakavyoomba. Maombi ya watu...
0 Reactions
2 Replies
887 Views
Idara na Taasisi nyingi za Serikali kuna nafasi nyingi ziko wazi kufuatia wafanyakazi kufukuzwa kazi kutokana na kuwasilisha vyeti feki wakati wa zoezi la uhakiki watumishi wa umma. Hali hiyo...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Mkuu wa Wilaya ya MWANGA Bw. Aaron Mbogho awakamata na kuwaweka ndani watendaji watatu wa kituo cha Afya cha Kisangara baada ya kuwachangisha wananchi fedha za mafuta ya gari la kubebea wagonjwa...
0 Reactions
0 Replies
961 Views
Tafiti za kibenki zinaonyesha wanaume wengi wanatoa hela nyingi ijumaa na wanawake wengi wanaweka hela nyingi jumatatu. Tuwe makini na hili
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Mwenye msaada wa haraka wa nini wafanye ndugu zetu waliokua wasafiri na Fast Jet asubuhi ya leo Kuja/Kurudi Dar toka Mwanza na wamefika Airport wanaambiwa ndege haipo bila kutoa sababu...
1 Reactions
89 Replies
9K Views
Kwanza nimpongeze Mh Rais kwa utumishi wake,Mungu aendelee kumtia nguvu, hekima, na maono ya kuliongoza taifa hili ambalo watu wake bado wana kiu kubwa ya mafanikio. Nikijite kwenye hoja yangu...
0 Reactions
0 Replies
794 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…