Bulembo 'awawashia taa nyekundu' wala rushwa CCM

radika

JF-Expert Member
Jul 15, 2014
20,427
32,196
MWENYEKITI wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi
(CCM-Taifa), Abdallah Bulembo amesema CCM ya awamu ya tano si ya majaribio, bali ni kukitumikia chama pamoja na wananchi na kutaka wanaotumia fedha kupata madaraka kutochaguliwa.

Angalizo

Hapo sijajua bulembo anakusudia nini ikiwa madiwani wa arusha wananunuliwa ktk awamu hii ya tano ambayo yeye anaona wanapiga vita rushwa wakati wao ni vinara wa kutoa.

[HASHTAG]#rushwa[/HASHTAG] ndani ya ccm ni vigumu kuitokomeza#
 
Huyo Siku hizi kabaki kama mpuliza zumali .
Maana hata akiongea, mwenye chama keisha idhinisha zamani wapewe nafasi.
 
Back
Top Bottom