Mwadhama Kardinali Pengo umekosea

Mwadhama Kardinali Pengo umekosea

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
53,000
Reaction score
104,435
Hapa umekosa busara za ki utu uzima. Kwa busara ya kawaida tu, usingelimpinga Askofu mwenzako hadharani kama ulivyofanya. Ni bora ungelinyamaza, msemaji mwingine mbali na wewe akatafuta namna ya kuliweka, siyo wewe. Umeliaibisha kanisa katoliki. Tazama watu wanavyokushambulia.
 
Back
Top Bottom