tramadol
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 5,383
- 4,318
Idara na Taasisi nyingi za Serikali kuna nafasi nyingi ziko wazi kufuatia wafanyakazi kufukuzwa kazi kutokana na kuwasilisha vyeti feki wakati wa zoezi la uhakiki watumishi wa umma.
Hali hiyo imesababisha watumishi wengi kuwa overworked hata kama wanalipwa overtime lakini efficient ya kazi inapungua siku hadi siku na mwishowe uzalishaji au utoaji wa huduma utakuwa wa chini sana kwa sababu ya akili kuchoka
Human resources management ni muhimu sana ktk production au hata katika service delivering.