Abel Mtambuki
Member
- Oct 7, 2017
- 19
- 9
Ni wajibu wa kila mtanzania kuliombea taifa lake. Kitabu cha 2 Nyakati 7:14, kinasema kuwa Mungu anaponya nchi wakati watu waliotubu dhambi zao na kumwelekea Mungu watakavyoomba. Maombi ya watu uponyaji ni kwa walio safi mbele za macho ya Mungu, hao wakilia machozi yao nchi itapokea uponyaji wa afya, roho na uchumi. Itoshe kuacha kulaumiana kuwa kwa nini tupo hapo tulipo kiafya, kiuchumi, kiutawala na kiroho, ni wote tujue tumemkosea Mungu.