Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Zimbabwe, Kembo Mohadi, amekutana na Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini humo, Kamishna wa Polisi (CP) Suzan Kaganda, ikiwa ni juhudi za kuimarisha...
0 Reactions
0 Replies
116 Views
========================== Badala ya mfumo wa sasa wa ‘TxxxAyy> TxxxByy > TxxxCyy > TxxxDyy , na sasa karibia tunaingia namba ‘E’ , ambapo mtu anakuwa anajua kabisa kwamba gari hii imesajili ya...
22 Reactions
158 Replies
16K Views
Habari Waziri wa Vijana Tanzania !. Nakuomba niweke hapa wazo langu wazi wazi endapo ukinipatia hiyo Milioni hamsini (Tsh.50,000,000/=). Nakusudia kuanzisha Kiwanda cha Uundaji wa nguo (Work on...
2 Reactions
39 Replies
507 Views
  • Redirect
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam. Jiji la Dar es Salaam linatarajia kuandika historia mpya katika tasnia ya burudani baada ya kutangazwa kwa uzinduzi wa tamasha la kwanza la kimataifa la...
1 Reactions
– Replies
– Views
  • Redirect
Inashangaza sana mtu anaelezea msimamo wake kuwa Mimi wakuu siwezi kuoa mwanamke asiye na bikira wanawake used na wanaume walioa used wanakasirika hadi kuanza kutoa laana kwenye msimamo wa mtu...
0 Reactions
– Replies
– Views
Wakuu, Nilikua natembea taratibu baada ya kushuka kwa gari nikaanza kutembea kwa mguu kuelekea sehemu fulani ila bahati mbaya isivyo bahati ghafla nikahisi km nimebanwa sana na mkojo. Nikabidi...
2 Reactions
6 Replies
259 Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu - TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe, amesema Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu - TAMISEMI imeandaa andiko la mradi unaoitwa SIFA yaani (School Infrastructure...
0 Reactions
6 Replies
208 Views
Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia akaunti zetu za Instagram: ikulu_mawasiliano, Facebook: Ikulu Tanzania Facebook fanpage: Ikulu Mawasiliano, Twitter: ikulu_Tanzania Youtube Channel...
0 Reactions
0 Replies
136 Views
Ukiangalia kuna chaneli kama makundi matatu hivi juu ya uandishi wa neno LIVE kwa Kiswahili sanifu Kuna wanaoandika MBASHARA mfano TBC. Hawa jamaa mwanzoni nilidhani wamekosea tu katika typing...
9 Reactions
39 Replies
662 Views
Umeanzisha biashara lakini inaendelea kupata hasara kila siku, halafu unaendelea kuingiza pesa zaidi bila kubadilisha kitu — hapo unakuwa unatupa “good money after bad.” Cha kufanya badilisha...
0 Reactions
0 Replies
105 Views
Watu wengi nyumba zao zina shoti ila hawajui.... Hii husababishwa na miundo mbinu ya umeme kukaa mda mrefu bila kurekebishwa... Unakuta nyumba ukichomeka pasi..TV km hauna ndala unatetemeshwa hii...
0 Reactions
143 Replies
37K Views
Mambo yamebadilika skuizi wasomi ni wengi na Kila mwaka wanafunzi zaidi ya 200,000 huitimu KATIKA vyuo mbali mbali nchini. Pia fursa mbalimbali za ajira na kazi zimekuwa chache kutokana na idadi...
3 Reactions
18 Replies
314 Views
hii inabidi pia tz ipewe ========== Rwanda imejumuishwa miongoni mwa Mataifa 12 mapya yatakayofaidika na ufadhili wa Serikali ya Marekani unaolenga kuongeza upatikanaji wa dawa ya sindano ya...
4 Reactions
15 Replies
493 Views
Anonymous
App ya mwendokasi haifanyi kazi siku ya nne leo, tunashindwa kununua tiketi ilihali kuna hela ndani ya app. Ukiwapigia wanasema wanarekebisha
1 Reactions
2 Replies
188 Views
Mtu kaumbuka huku Hadi akalazimika kujitetea hadharani Ili Mke wake asiliamshe timbwili 😂😂😂😂👇👇...
3 Reactions
3 Replies
187 Views
Anonymous (c5ac)
Hellow jamii, Kata ya Nyamhongolo Mkoa wa Mwanza Jiji la Ilemela hatuna maji wiki sasa na wakati Ziwa Victoria liko hapa hapa Mwanza, hii ni aibu. Pia soma: MWAUWASA: Kukosekana kwa huduma...
0 Reactions
1 Replies
180 Views
Anonymous (c723)
Hii ishu ya Passport naona kuna mazingira ya kuzungushwa kwa maksudi, maana hata mimi ni wiki sasa kila nikienda ofisi za Uhamiaji Shinyanga naambiwa kuna shida ya Mtandao, hata wiki jana nilienda...
0 Reactions
3 Replies
190 Views
Anonymous
Idara ya Uhamiaji Mbeya imekuwa changamoto na kero kubwa, nimeenda kuomba Passport nimerudi zaidi ya mara 4, mwezi sasa umeisha wanasema hakuna Mtandao wakati sisi tunajaza form zao online...
3 Reactions
3 Replies
260 Views
Anonymous (6235)
Nina shida kuna Jambo linanisumbua hapa nilipo nipo Chunya sehemu ninayofanyia kazi kuna raia wa Malawi ni wengi sana na wengi wao hawana uhalali wa kufanya kazi hapa nchini. Shida iliyopo...
2 Reactions
6 Replies
191 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…