Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Dunia imejaa watu wenye mila na tamaduni tofauti ila kuna baadhi ya mila/tamaduni ni za ajabu kidogo lakini kwa wengine wanaona ni za kawaida. Kwa mfano kuna kabila moja huko INDONESIA wao kila...
0 Reactions
8 Replies
7K Views
Duru toka ndani kabisa ya watu waliokaribu na kiongozi aliye jihudhuru kwa kashfa ya ufisadi eti amemshawishi kiongozi wa KKKT KUMJIBU PENGO hapo kesho kupitia press itayoitishwa. Yetu macho!
0 Reactions
106 Replies
8K Views
Nisiwachoshe Nataka kuweka bayana kwamba upelelezi huru ni muhimu sana katika mazingira yetu kama nchi. Upelelezi huru ni njia mojawapo kuu ya kuisaidia polisi wetu ambao wao wenyewe kila siku...
0 Reactions
3 Replies
760 Views
Hatari sana!!!
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Waasalam Wakuu Kama mnavyojua watanzania wanapenda sana biashara za kuigana jambo ambalo ndio sababu biashara nyingi huwa zinafeli. Toka mwaka 2015 watanzania wengi wenye vihela kidogo walivamia...
5 Reactions
20 Replies
5K Views
Kwanza nimejifunza matukio mengine huwa ni ya muda mfupi tu, ila kwa jina la siasa na malalamiko unaweza kuaminishwa yapo siku zote. Ghafla ugali ulibadilika kuwa anasa na wali kuwa ni kitu cha...
11 Reactions
66 Replies
6K Views
Nilikuwa natazama taarifa ya habari kupitia station (kituo) cha Runinga cha televisheni yaTabibu, walikuwa wanazungumzia taarifa za michezo wakati huohuo wakipitisha matangazo ya chini Runinga...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Mzuqa Stephen Shayo 34 mtanzania raia wa Uingereza Na mwanajeshi kafutiwa mashtaka ya ubakaji baada ya kusingiziwa Na binti wa kiingereza. Inasemekana walikutana club Na huyo mwanamama kalewa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mumepunguza sana ulaji wa chipsi na ile kampeni yenu ya chipsi kyepe mmeiacha na kusababisha mdolo wa bei za viazi huku mikoani. Hamasishaneni na dada zenu muendelee kula chipsi Tuliwadharau sana...
3 Reactions
28 Replies
2K Views
Awe Imamu wa msikiti au Mchungaji wa kanisa, Askofu, Padre awe Nabii au Mtume ambaye waziwazi hataonja mateso wanayopitia watu wake au hatakemea uovu unaotamalaki katika taifa, huyo hafai. Na...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
○ Watumiaji vyombo vya moto hawana elimu ○ Usimamizi wa sheria za barabarani duni ○ Raia ni wakaidi tu ○ au ni nini? Nadhani ni muhimu sasa isione kwamba ni jambo la kushadadia fine...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Kati ya mambo yaliyoiharibia ccm,na magufuli!, ni jambo la Rais kutamka hadharani kuwa,Hataongeza mshahara. swala hili limeondoa IMANI yooote!ya wafanyakazi kwa serikali na chama tawala kwa...
5 Reactions
32 Replies
4K Views
Wadau Hii kampuni inayoendesha mradi Wa basi kwa njia ya haraka inaelekea kufilisika au kuna a tatizo gani!? Wakati nakata tiketi namsikia muhudumu akiongea na mlinzi kuhusu kutolipwa mishahara...
2 Reactions
32 Replies
5K Views
Nimefuatilia press comference ya Rais Dr Magufuli na waandishi wakati anatangaza mabadiliko ya Baraza la Mawaziri mpaka mwisho lakini wanahabari waliopewa nafasi ya kuuliza swali ikaonekana hakuna...
4 Reactions
64 Replies
5K Views
Mdogo wangu wa kiume Jumamosi ijayo anakwenda ukweni kuanza utaratibu wa posa, mahali na ndoa. Rafiki yake wa kike ni mchaga-mrombo na mdogo wangu anatokea mikoa ya nyanda za juu. Vipi mahali...
2 Reactions
24 Replies
6K Views
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu,Sayansi,Teknorojia na ufundi stadi Prof.Simon Msanjila amemuagiza Mkuu wa wilaya ya Geita mwl Herman Kapufi kuunda kamati ya uchunguzi ifuatilie...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Leo siku ya tarehe 10th October, 2013 ni siku ambayo shirikia na Afya Duniani WHO na idara zake, Serikali mbalimbali zilizoridhia mkataba wa Afya Bora Dunia pamoja na taasisi mbalimbali za Afya...
1 Reactions
62 Replies
8K Views
Gari ilikuwa imepakiza watoto wa madrasa lakini nilipofika maeneo ya kivuko cha kwaminchi, gari ikazima katikati ya reli. Dereva alifanikiwa kuwaambia watoto waruke hivyo kufanikiwa kuwa okoa...
2 Reactions
15 Replies
6K Views
Habari za jumapili wadau; Naomba kuwaeleza ufahari Wa Busha. Wakati wenye Busha siku hizi wakipuuzwa na kuonekana kama ni ugonjwa; Historian inaonesha kwamba Enzi za mababu zetu, watu...
1 Reactions
19 Replies
47K Views
Kutokana na ongezeko la magonjwa yasiyoambukizwa, shughuli nyingi ambazo ni za maofisini hitaji kubwa la mazoezi limejitokeza. natamani kabisa kuona siku moja viwanja na maeneo ya wazi...
4 Reactions
17 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…