uniq
JF-Expert Member
- Nov 22, 2011
- 5,089
- 31,086
Gari ilikuwa imepakiza watoto wa madrasa lakini nilipofika maeneo ya kivuko cha kwaminchi, gari ikazima katikati ya reli.
Dereva alifanikiwa kuwaambia watoto waruke hivyo kufanikiwa kuwa okoa watoto wote.
Habari zaidi ya tukio nitawaletea
Updates
Watoto waliokuwa wamekaa mbele wameumi na kumbizwa hospital. Tarifa nilizonazo ni watoto wawili ndio wameumia.