Tunawaombeni msamaha wanaume wa Dar

Tunawaombeni msamaha wanaume wa Dar

ze farmer

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
922
Reaction score
1,822
Mumepunguza sana ulaji wa chipsi na ile kampeni yenu ya chipsi kyepe mmeiacha na kusababisha mdolo wa bei za viazi huku mikoani.
Hamasishaneni na dada zenu muendelee kula chipsi
Tuliwadharau sana kwa ulaji wa kwepe tusijue nyny n watu mhimu kwenye soko la viazi
 
Mikoani kuna stress zake [emoji23][emoji23] duh naona umekumbwa na moja wapo.
 
Mumepunguza sana ulaji wa chipsi na ile kampeni yenu ya chipsi kyepe mmeiacha na kusababisha mdolo wa bei za viazi huku mikoani.
Hamasishaneni na dada zenu muendelee kula chipsi
Tuliwadharau sana kwa ulaji wa kwepe tusijue nyny n watu mhimu kwenye soko la viazi
jamani wanaume wa dar kuna shoga limejileta njooni mpige mashine
 
Mdau mleta mada anatoka nyanda za juu kisini
Mbeya,njombe,iringa kunakozalishwa viazi chips

Lalamiko lako si kwamba watu wamepunguza kula chips dar kuna wajuvi wa hiyo biashara wamewazidi akili wanaingiza mzigo town ontime tena ukiwa umeoshwa kabisa yaani kiaazi kisafiiiiii huna haja ya kukiosha

Unakata tu na kutia kwenye mafuta

Ushauri!
Ni wakati wa kubadilika sasa ze farmer huko uliko na kuweza kuendana na soko
 
Viazi vinakuja vimeoshwa!!
Vinatoka wapi Kenya ama hapahapa Tanzania??
 
Ni kweli mwaka huu, supply ya viazi hasa katika soko la Dar, Mahakama ya ndizi imekuwa kubwa. Kwa siku, maroli na maroli yanashusha viazi. Dalali mmoja aliniambia kwa sasa walaji wa viazi Dar, wamelemewa na wingi wa viazi...
 
Back
Top Bottom