Mzuqa
Stephen Shayo 34 mtanzania raia wa Uingereza Na mwanajeshi kafutiwa mashtaka ya ubakaji baada ya kusingiziwa Na binti wa kiingereza.
Inasemekana walikutana club Na huyo mwanamama kalewa chakari nakwenda naye nyumbani. Footage za CCTV zinaonesha wakiwa pamoja Na kuna sehemu mwanadada huyo akimkumbatia nakupanda naye texi
Mangi kamaindi kichizi kwani kesi imemuaribia imej Na kumuathiri kisaikolojia. Mangi ambaye aliwakilisha lugha yetu adhimu ya kiswahili kupitia kwa mtafsiri katika iyo kesi.
Sosi: dailymail online UK
Catterick soldier relieved after cleared of raping woman | Daily Mail Online