Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imewahukumu watu wa nne kutumikia kifungo cha mika 30 jela na kuchapwa viboko 12, sita wakati wa kuingia na sita wakati wa kutoka baada ya kupatikana na hatia...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwamba maana ya Shoga iwe kwamba Mwanaume anayefanyiwa mapenzi kinyume cha maumbile na Mwanaume ambaye pia anamfanyia Mwanaume mwenzake, yaani wote wawili ni Mashoga, hapo patakuwa hapatoshi, ...
0 Reactions
1 Replies
943 Views
Please, wise up you people [ IGP Sirro & Co]. Stop giving that obviously demented broad the oxygen of publicity. Why even mention her? Just do what you got to do clandestinely [if at all you're...
7 Reactions
19 Replies
1K Views
Katika Michezo ya Olympics ya Mwaka 1968 iliyofanyika Mexico City kulikuwa na mwanariadha aliyetumia muda wa saa nne na nusu kumaliza mbio za Marathoni. Wanariadha wengine walikuwa wamemaliza...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Leo tarehe 17/5/2017 majibu ya watu waliokata RUFAA kwenye kundi la Kugushi mbona hamyatoi? Wale mliowaita wana vyeti vyenye UTATA mbona hamtoi majibu ili hali wahusika wamewasilisha vyeti vyao...
4 Reactions
62 Replies
14K Views
Jamani wan Jamvi, napenda kuwashirikisha masikitiko yangu kwa hiki kilichotokea kwenye 2nd round admision ya vyuo vikuu na nitatoa mfano wa chuo kimoja. Jumapili nilijisajili CUHAS na kabla ya...
0 Reactions
2 Replies
859 Views
Wadau hebu tuliangalie hili swala la ujazaji Wa abiria kupita kiasi kwenye mabasi ya mwendokasi hapa dar. Je Nani anadhibiti hii kitu? Au Ni kujaza hadi pale mchina alipoishia kutengeneza upana na...
2 Reactions
7 Replies
987 Views
Kijana Mmoja aliyejulikana kwa jina la Wilson Mwasi mwenye umri wa miaka kati ya 28 na 30 ameuwawa kwa kuchomwa kisu na mtoto wa mwenye nyumba wake kwasababu ya kudaiana pesa ya umeme. Tukio...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Halotel inatimiza miaka miwili
0 Reactions
2 Replies
683 Views
Ukiwasikia Watangazaji wa Redio na Tv za nchini Kenya na Uganda huwa wanalitamka hili neno vizuri sana kwa kusema ' Nakumat ' Supermarket lakini Watangazaji wengi wa Redio na Tv za nchini Tanzania...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Amefariki jana katika hosptali ya General Dodoma baada ya kupata ajali akiwa safarini kuelekea Dar wakati akisindikiza msiba wa mshirika wake ndipo gari alilopanda likapinduka baada ya kupasuka...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
SINTOFAHAMU YA MTOTO ALIYEFANYIWA UPASUAJI: Muhimbili yawasaka wazazi wa mtoto wa miaka 13 waliyemsusa baada ya kufanyiwa upasuaji wa tatizo la moyo lililokuwa likimsumbua, yuko katika Taasisi ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wataishia kuja na misemo tu, sijui albadir, mara malipo hapa hapa Duniani, utasikia hujafa hujaumbika, lkn hakuna kitu wanakufanya hivyo ukiwa kama hauamini huo ujinga unaweza kuwafanya unavyotaka...
0 Reactions
2 Replies
714 Views
Wakuu, leo nimeona tusaidiane kupeana maarifa ya kuongeza hamu ya mwanamke kufanya mapenzi sana,hata anapokuwa ana umri mkubwa,yaani kuanzia miaka 50 na kuendelea. Vyakula hivi vinampa nguvu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari zenu wana Jamvi naimani wote hatujambo, naomba tuchangie hoja hii kwa wale wanaomini uchawi kuwa una mafanikio au Laah Na hata kwa wale wasio amini uchawi mnakaribishwa kuchangia hoja zenu
1 Reactions
20 Replies
4K Views
MWANAMKE ASIYEPENDA NDUGU WA MUME DAWA HUWA NI KAMA HII. Siku moja wakiwa wamekaa pamoja mume na mke wake mume akamwambia mke wake "Mke wangu nimewakumbuka sana ndugu zangu (kaka zangu dada na...
13 Reactions
21 Replies
4K Views
Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa CRDB, Tully Mwambapa Dar es Salaam. Benki ya CRDB imetajwa miongoni mwa taasisi salama zaidi za fedha duniani, hivyo kuiweka Tanzania...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wengi wasiotaka mazuri kwa wenzao ndio watupa dhahabu kwa wenzao wakidhani ni mawe , wenzao huyaokota na kubadili maisha yao alafu sasa wanashangaa imekuje wakati nilikuwa nampigia mawe...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Nilipokea email ya mdada aliyejitambulisha kwa jina la CARISA SMITH, akisema amependa mwonekano wangu kupitia facebook profile yangu hivyo amenipenda tuwe marafiki, nikamwambia hakuna matata...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Taarifa ikufikie popote pale ulipo kuwa Ulimwenguni kote leo ni siku Ugonjwa wa akili duniani / siku ya Wagonjwa wa akili duniani na kwa tafiti za huyu Mwanasaikolojia mmoja kutoka Hospitali Kuu...
1 Reactions
5 Replies
885 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…