" Canon Laws" ambazo ibara zake hutajwa hivi, Can. 381 nakafhalika zinatosha kumwelewesha yeyote muundo wa Kanisa Katoliki. Zinataja mamlaka ya askofu, askofu-mkuu, kardinali, rais wa baraza la...
Tangu mara ya mwisho wakati wa utawala wa mzee ruksa ndio ilikuwa mwisho wa wana usalama wetu kukamata mali uwanja wa ndege kipindi hicho waziri wa mambo ya ndani ni liyatonga mrema,vikosi...
Asilimia kubwa sana ya watu hufanya jambo pasipo hata kuchunguza, ebu fikiria mtu kama huyu kajenga fremu za maduka kibao hadi sasa takribani mwaka Wa NNE hajapata wapangaji, wakati huo watu...
Habari za jioni wadau, kunatetesi kuwa Mkataba kati ya Maxcom Afrika (Maxmalipo) na Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama barabarani umekwisha na hawajaongezewa muda tena. Tetesi hizo zipo baada ya...
1 kutokuwa mbinafsi na mtu anayejipambanua kuwa anaweza kutenda kwa maslahi ya Umma
2 ni mwadilifu, ni mtu ambaye uadilifu wake hauna shaka hata kidogo yaani sio mdokozi wa mali za Umma, sio...
Kwa miaka mingi wakulima wa zao la korosho hasa wa mikoa ya kusini walikuwa hawanufaiki na kilimo cha mazao hayo kutokana na sababu mbalimbali kikubwa ni kutopewa kipaumbele.
Serikali ya awamu ya...
Wakuu,
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza naomba kuorodhesha haya maswali;
1. Binadamu aliyekutwa akilelewa na Nyani yupo wapi?
2. Yule alitengeneza Helikopta Tunduma aliishia wapi?
3. Amani...
Katika maisha yangu hili jambo naona la ajabu sana pale mtu anapoandaa sherehe kubwa kusheherekea siku yake ya kuzaliwa maswali ninayojiuliza kuna umuhimu gani wa hii sherehe kwa yeye kuwepo hapa...
Wasalaam wakuu.
Nikijite kwenye mada.
Nimekua mhumini kwa muda mrefu kwa makanisa mbalimbali ila kwa msingi wa hoja yangu sitayataja.
Makanisa mengi idadi kubwa ni masikini na wale wenye...
Binti mmoja katika kijiji cha asali na maziwa, kijiji ambachokiimeenziwa kwa misingi ya haki na usawa, kijiji kilichokuwa kimejaawazee wa hekima na busara, kijiji ambacho hakikuruhusu hata siku...
Muungwana kauli na vitendo. Ukisema ushindane na mwenda wazimu utageuka nawe kuwa mwenda wazimu. Ndio maana na matusi yote dhidi ya asili za kiarabu, wenyewe hawana habari wanaendelea kujenga nchi...
Kitambo kidogo kimepita,nadhani itakuwa kama mwezi hivi,nilisikia taarifa kupitia kwenye chombo chetu kimoja cha habari,nadhani itakuwa ITV, kwamba wazee wasiojiweza wanajengewa makazi bure kule...
Chanjo dhidi ya ugonjwa wa Ebola yafanikiwa
Uchunguzi uliofanyiwa chanjo mbili tofauti za ugonjwa wa Ebola umebaini kuwa chanjo hizo zinaweza kumkinga mtu kutokana na virusi vya ugonjwa huo kwa...
Kufuatia kukithiri kwa matukio ya majanga ya moto mkoani Ruvuma,mkuu wa mkoa wa Ruvuma Dokta Binilith Saatano Mahenge ameziagiza halmashauri za wilaya kupitia idara za ardhi na mipango miji mkoani...
Toka umezaliwa naamini ujawahi na wala hutegemei kusikia au kuona mnyama tofauti na binadamu ama kasuku akitumia ulimi kuongea,kumbe hata MBWA anaebweka,!mnyama huyu kashuhudiwa na maelfu ya...
Habari wakuu,naomba msaada wenu wa bank ipi naweza fungua akaunti ya watu wawili like baba na mtoto,mke na mume au hata marafiki.Na wanahitaji kuwa na nyaraka zipi?
Nawasirisha wakuu.
Idadi kubwa ya watu linapokuja suala la pesa, wapo makini sana na tabia kama kupanga mipango mizuri, kutumia pesa kwa busara na hata ikiwezekana kubana matumizi ili kuhakikisha usalama wa pesa...
video inayoenea mtandaoni ikisema fisi ameuwawa Ubungo Kituo Cha Mabasi.
"Kwa mujibu wa BBC tukio limetokea kahama na sio Ubungo
Pia kuna tetesi kuwa huyu fisi ni matokeo ya albadir iliyosomwa...
Mlima Kilimanjaro umeshinda tuzo ya Kivutio Bora cha Utalii Afrika mwaka 2017. Huu ni ushindi wa tatu mfululizo tangu 2015.
======
Arusha — Mount Kilimanjaro, Africa's highest peak, has...
Zaidi ya nyumba 900 zimeteketezwa kwa moto na kusababisha kaya zipatazo 1000 kukosa mahali pa kuishi baada ya kamati ya ulinzi na usalama kwa kushirikiana na wakala wa huduma za misitu nchini...